Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,538
Hongera sana maana una moyo wa kipekee. Hadi umempangishia nyumbaaa? Very exceptional
Utakuwa na tatizo flan mkuu. Jitafakari thn ujirekebishe au uwe unamsoma kwnz dem yukoje na anataka nini.
Aisee kumbeeeLazma utakua mtu flani mpole mpole sana af decent watu kind hii wanakuaga wanaboa kuwa nao, sio watamu....ila bad boys oooshhh ni Zaid ya watamu , pole jifunze kuwa "bad boy" ukishindwa basi subiri tu bwana atatenda muujiza atakuletea sister maria wa kafanana na wewe pole sana
Wanajamvi najishangaa sana hapa nilipo kila ninayempenda mwisho ananiacha bila kosa huyu wa sasa ndio kabisa yani nmempangia na nyumba anapo kaa lakini niwiki sasa tangu aniache nakusema yeye anataka kuwa single Lakin bado anakaa kwenyenyumba niliyo mpangishia sina raha kabisa sielew nifanyeje hata msosi haupandi
Aisee kumbeee
Umepotea sana nani kakuficha?
Nipo my dear nakuona ona tu kitaa ila unakuaga mbali nashindwa kukuita hahahaa
hao dawa yao ni kuwatia mimba tuu mkuu so hata akikuacha lakini hatokusahau
Kwa pozi la jeuri kwa mtu anayekulipia mpk kodi labda kama atie hizo mbegu kwenye soda