nimebadili jinsi mkuu
Sasa unauliza ili iweje wkt jibu unalo? Watu wengine bana
Kaka jerry that's y mie penda weye......
Sent from my BlackBerry 9320 sing JamiiForums
wacha nikaiangalie nisije kukosea
aisee umenikumbusha jamaa aliyekua na kesi ya kubaka akaenda kwa mganga aondolewe nyeti zake ili ashinde kesi baada ya kushinda kesi kurudi anakuta mganga KAFA