SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
nashukuru.
Rudi Basi janeth1 .Maana tangia ulipo pita haujarudi .Nakuomba urudi kwenye uleule uzi tuendelee ku storika maana hapa nilipo nimepoa kweli
Last edited by a moderator:
nashukuru.
Jerrymsigwa, hiyo hapo kwenye bold ni kiswahili cha Kenya. Huku Tanzania tunasema hivi: ........kuuliza jibu alilo nalo.Ili nimpe jibu afunue kifua,otherwise sioni mantiki ya kuuliza jibu ambalo ako nalo
Jerrymsigwa, hiyo hapo kwenye bold ni kiswahili cha Kenya. Huku Tanzania tunasema hivi: ........kuuliza jibu alilo nalo.
Karibu Tanzania na jitahidi kujifunza kiswahili cha tanzania.
Awali nilipuuza lakn sasa nalazimika kustuka ninapoona pm tatu zinaniuliza mm ni jinsi gani, wewe unadhani mm ni jinsi gani?
karibu aisee.
mumeo mzima?