Nimeukumbuka utabiri wa Mchungaji Joshua T.B

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
3,628
2,000
Ule utabiri wake alioutabiri kwamba kuna nchi moja ndani ya East Africa ambayo mwaka huu itakuwa na uchaguzi mkuu wake,Opposition watashinda lkn haitatawala!!

Inavyoonekana CHADEMA ilishinda kwa mujibu wa huo utabiri wa Mch. Joshua.

Wadau mnasemaje kuhusu hili?
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
51,314
2,000
nadhani kulikuwa hakuna kabisa umuhimu wa kufanya uchaguzi basi ,kila kittu kilikuwa kishapangwa
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,473
2,000
Nawasikitikia UNDP mihera yote walioitoa ndo twaambulia ahay amadudu ya uchakachauji
 
Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
3,628
2,000
Mpaka kwenye mishahara za wafanyakazi zitazidi kuchakachuliwa maradufu zaidi!!
 
Bull

JF-Expert Member
Nov 4, 2008
986
0
Maneno haya kama kayasemeya kanisani nisawa, kwani huko ndo kuna watu wanaamni pumbpumba kama hizi !!!
 
sister sista

Member
Jan 6, 2010
71
0
Ule utabiri wake alioutabiri kwamba kuna nchi moja ndani ya East Africa ambayo mwaka huu itakuwa na uchaguzi mkuu wake,Opposition watashinda lkn haitatawala!!

Inavyoonekana CHADEMA ilishinda kwa mujibu wa huo utabiri wa Mch. Joshua.

Wadau mnasemaje kuhusu hili?

mh wewe mimi namfuatilia kwa karibu huyu mtu ni lini hiyo au alikwambia private?and please you people msiingilie dini katika siasa tushbikieni na kubishana huku laini si kwenye dini najua unakotaka kwenda through your thread:nono::nono::nono:
 
Bull

JF-Expert Member
Nov 4, 2008
986
0
Calling you stupid would be an insult to stupid people.Call me whatever you want, such stupid statement will only be preached within your house of Lord and only such people will belive the stupidity word
 
hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,592
2,000
Call me whatever you want, such stupid statement will only be preached within your house of Lord and only such people will belive the stupidity word

gettin' all excited huh! kwahiyo yale uloandika kuwa kanisani ndo wanasikiliza pumba umeona yanafaa?

Do you want do die stupid?
 
Bull

JF-Expert Member
Nov 4, 2008
986
0
gettin' all excited huh! kwahiyo yale uloandika kuwa kanisani ndo wanasikiliza pumba umeona yanafaa?

Do you want do die stupid?Fuatilia story nyingi za huko utaona zinafanana na vimaneno vya kij"""""" kama hivyo, You live stupid life kama hutotumia akili zako badala ya kusikiliza wahubiri kama hawa
 
hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,592
2,000
Fuatilia story nyingi za huko utaona zinafanana na vimaneno vya kij"""""" kama hivyo, You live stupid life kama hutotumia akili zako badala ya kusikiliza wahubiri kama hawa

I bet your brain feels as good as new, seeing that you've never used it.
 
YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,599
0
such stupid statement will only be preached within your house of Lord and only such people will belive the stupidity word
Bull when are you going to grow?
I mean, do you think your fake religion matches the truth?
If you think so, let us meet in right forum. I will show you that your religion is fake and you should repent of your stupidity
 
BUBBA

Member
Feb 9, 2010
19
0
Ule utabiri wake alioutabiri kwamba kuna nchi moja ndani ya East Africa ambayo mwaka huu itakuwa na uchaguzi mkuu wake,Opposition watashinda lkn haitatawala!!

Inavyoonekana CHADEMA ilishinda kwa mujibu wa huo utabiri wa Mch. Joshua.

Wadau mnasemaje kuhusu hili?

Ndugu zangu wa Tanzania, the so called intellectuals, kwanini tunakubali kuendelea kudanganyw na watu kama huyu aliyeandika hapa,in the first place T.B Joshua alikana siku kadhaa kwenye magazeti yetu ya umma kwamba hahusiki na hili ,ila pia tujiulize ni kwanini Shehe Yahaya akitabiri tunakuwa wakwanza kumpinga ila T.B tumuunge mkono. Nadhani tunapaswa kuwa makini kidogo.
 
Ngolinda

Senior Member
Apr 12, 2010
125
0
Maneno haya kama kayasemeya kanisani nisawa, kwani huko ndo kuna watu wanaamni pumbpumba kama hizi !!!

Ndugu, acha kudharau dini za wengine. Unamaanisha Wakristo hawana uwezo wa kufikiri? Je na wengine wakianza kashfa kwa dini nyingine patakalika kweli?
Kama huna mchango wa maana ni bora ukae kimya sio lazima kujibu kila hoja.
 
majuva

Senior Member
Apr 30, 2009
144
0
mambo yananoga tutayasikia mengi na bado, na watabiri sasa mnawaamini au kwa vile mtabiri mch***** sio mzee yahaya ama kweli kunya aje kuku :::::
 
M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,733
1,225
Ule utabiri wake alioutabiri kwamba kuna nchi moja ndani ya East Africa ambayo mwaka huu itakuwa na uchaguzi mkuu wake,Opposition watashinda lkn haitatawala!!

Inavyoonekana CHADEMA ilishinda kwa mujibu wa huo utabiri wa Mch. Joshua.

Wadau mnasemaje kuhusu hili?

Why CHADEMA and not CUF in Zanzibar, kule ndio kuna posibility kubwa sana kuwa maalim Seif amenyang'anywa tonge kinywani.
 
Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
3,628
2,000
Why CHADEMA and not CUF in Zanzibar, kule ndio kuna posibility kubwa sana kuwa maalim Seif amenyang'anywa tonge kinywani.

Aaah ok! Nashukuru kwa kunikumbushia hilo, niliwaza vya BARA tu! Hata hivyo unaweza kuongezea hilo la CUF visiwani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom