Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,432
- Thread starter
-
- #21
Mie sina shughuli nayo hayo magwanda. Nalog offmagwanda mmoja wao ni huyu hapa:
http://3.bp.blogspot.com/_24ElP0syPEs/TNABqKFczaI/AAAAAAAABXs/e6EKRupBoiE/s400/Halima+Mdee+kamandaaaaaaaaaaaa.jpg[/I
Habari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na kuanza kutumwagia mchanga watu tuliokuwa tukisubiri usafiri,kwa kweli alituchafua na amani ilitoweka kwa watu kuanza kukimbia ovyo ovyo kwa kuhofia kumwagiwa michanga na yule chizi ,basi mie nikamvizia kwa nyuma yule chizi na nikaubutua ule mshipa wake kwa nguvu,yule chizi alikaa chini na kutulia mwenyewe,basi kwa kitendo changu kile wengine wakiniunga mkono wengine wakinikandia,je nimefanya makosa au nimepatia?Nalog off
Hahahaha dah! Umenichekesha sana aise. Nalog offKituo gani hicho chenye machizi wenye Busha, Bagamoyo nini?
Hahahaha dah! Umenichekesha sana aise. Nalog off
Niko Maputo mjini kiongozi we ukifika ni PM. Nalog off
Mkuu samahani mie nimetoka Tz zamani mno. Mulika mwizi ni nini maana yake? Nalog off
Sio kiboko ni tembo,hata huku niliko mishipa ipo ya kumwaga. Nalog off>
>
we kweli chiboko!!
Sio kiboko ni tembo,hata huku niliko mishipa ipo ya kumwaga. Nalog off
Nitafanya hivyo. Nalog offAmesha kumaki sura, kuanzia sasa ujue anakutafuta na mawe nakushauri uvue helmeti lako la matikiti na utafute la piki piki.
Usi log off.
Ndio kwenye kituo cha daladala jijini Maputo. Nalog offNa log in: Maputo kwenye kituo cha daladala na kichaa mwenye Busha !!!? Nalog off.
Kaniharibia sana huyu chizi. Nalog offNafanya process ya kukufungulia kesi ya madai. Lazma machizi nao wawe treated kama machizi.
Nashukuru kwa kunisapoti. Nalog offhujakosea mwanangu ni mule mule tu..............tin tin tin
Namshukuru imeisha salama amekubali kurudi nyumbani. Nalog offDuh Washawasha mtata kweli vipi ile ishu ya c.hupi kesi na mke wako imeisha salama?.
Hahahahaha akili ilimkaa sawa mwenyewe. Nalog offhaina tofauti na ile ya kwa mwizi kaingia jambaz
ndo sawa na yako mzee wa kulog off yaan
chizi alikutana na kichaa
washa washa hiyo kitu ni inauma balaa,umekosea sana,ukishindana na chizi we pia ni chiziHabari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na kuanza kutumwagia mchanga watu tuliokuwa tukisubiri usafiri,kwa kweli alituchafua na amani ilitoweka kwa watu kuanza kukimbia ovyo ovyo kwa kuhofia kumwagiwa michanga na yule chizi ,basi mie nikamvizia kwa nyuma yule chizi na nikaubutua ule mshipa wake kwa nguvu,yule chizi alikaa chini na kutulia mwenyewe,basi kwa kitendo changu kile wengine wakiniunga mkono wengine wakinikandia,je nimefanya makosa au nimepatia?Nalog off