nimetumiwa hii msg...ni kweli?

nimetumiwa hii msg...ni kweli?

Acheni kututisha bwana, wengine tunalalaga nazo kwaajili ya Alarm...

tehee...eti alam akati ndo mida yenu wanafunzi kujiachia na bure...
Mtally umefua unifomu?...kesho ukaguzi ati.
 
Huu ni usushitu ingia google then search NASA BBC NEWS utakuta hizo Rumors na zimekanushwa na hiyo sms ilisambazwa tarehe 6 April 2012
 
ukipata msg kama hiyo yakupasa kufanya utafiti angalau kidogo, kabla hujaliwa ngawira zako kwa kusambaza uvumi. Tuache UVIVU. nenda Google, tafuta ukweli
 
Back
Top Bottom