Nimetuma maombi Tamisemi, nimekwamia hapa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Wakuu msaada wa haraka mwenye uwelewa, nimetuma maombi yangu kuanzia jana nimekwamia hapa kwenye kuchagua mkoa wa kupangiwa kazi.

Kila nikiclick hapafunguki kunipa option ya kuchagua ni kama pamestack. Hatua zote nimemaliza asilimia 100 bado hapo tu ndio pananigomea.

Nimeangaika usiku kucha nilijua labda ni system imejam lakini mpaka sasa bila bila.

IMG_20230414_164340_510.jpg

Wakuu msaada pliz
 
Wakuu msaada wa haraka mwenye uwelewa, nimetuma maombi yangu kuanzia jana nimekwamia hapa kwenye kuchagua mkoa wa kupangiwa kazi,
Kila nikiclick hapafunguki kunipa option ya kuchagua ni kama pamestack,
Hatua zote nimemaliza asilimia 100 bado hapo tu ndio pananigomea,
Nimeangaika usiku kucha nilijua labda ni system imejam lakini mpaka sasa bila bila
View attachment 2588442

Wakuu msaada pliz
Refresh page
 
Nawewe unakwenda kutufundishia watoto wetu? cc mwl Mpwayungu village
 
Ingia usiku watu wakiwa wamelala, system inakua haiko busy sana! Ila kama ni tatizo lao ni mpaka warekebishe.
 
Cheki tena taarifa zako namna ulivyo jaza hususan za chuo
 
Wakuu msaada wa haraka mwenye uwelewa, nimetuma maombi yangu kuanzia jana nimekwamia hapa kwenye kuchagua mkoa wa kupangiwa kazi.

Kila nikiclick hapafunguki kunipa option ya kuchagua ni kama pamestack. Hatua zote nimemaliza asilimia 100 bado hapo tu ndio pananigomea.

Nimeangaika usiku kucha nilijua labda ni system imejam lakini mpaka sasa bila bila.

View attachment 2588442

Wakuu msaada pliz
Tumia computer, kwa simu utapata tabu sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom