Nimetongozwa na shoga

Nimetongozwa na shoga

Habari zenu wana JF,

Siku ya jana nimekutana na mkosi wa aina yake ilikuwa mida ya saa 7 mchana nikitoka Sinza kuelekea Posta kufanya yangu .

Ndipo daladala ilipofika maeneo ya Magomeni alipanda jamaa mmoja kiukweli daladala haikuwa na abiria wengi kwani kulikuwa na siti za wazi nyingi na mimi nilikaa mwisho kabisa wa daladala cha ajabu na kilichonishangaza jamaa kaacha siti zote kaja kukaa na mimi akasema samahani kaka siti za mbele huwa sizipendi huku anachekacheka.

Akaanza kuniuliza kila kituo tukifika eti hapa ndo wapi,Maria leo fire foleni hamna,mara nimechelewa kazini nikifika tu navaa unform haraka alivyoona niko kimya akasema kaka vipi mbona we mpole hivyo nikajichekesha kidogo nikamwambia kawaida tumefika Jangwani akaanza kunitongoza kaka unaitwa nani,unaishi wapi,we ni last born nini umepanga au unaishi kwa wazazi alafu umependeza,nataka uwe mume wangu pesa ninazo.

Kiukweli uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtusi matusi ya maana sijui hata yalipotoka hayo matusi aibu ilimjaa sana jamaa ikawa habari ndani ya daladala.

Ilinibidi nishuke kituo ambacho sikupashwa kushuka,watu wengine mikosi sana.
Hata mkeo, ukiona anakueleza wanaomtongoza, juwa akiacha kueleza, basi ndo anamegwa hivoooooo
 
Inaelekea unanmvuto sana , hebu niambie ukoje ukoje na ulivaaje ,isije huyo mtu alikua mimi sababu nimekutana na mtu hivyo hivyo.
 
Wewe ungejing'atang'ata vidole, ungeinamisha kichwa chini, ungekuwa unamchungulia kwa chinichini, ungekuwa unajikanyaga miguu mwisho ungeona unapewa ofa na mwaliko. Alafu ungeenda huko kwenye mwaliko ujiridhishe je kweli ni shoga. Wengine wanakuwaga ni wanawake ila wana appearence ya kiume.
 
aaaaa!!mkuu inataka moyo sana
 
sijasema picha yake mkuu, weka hata sample picture tuone mfanano wake.
r-BEN-WATSON-LA-COMPLEX-large570.jpg
 
wengine wanasema sijamtendea haki eti ningetumia diplomatic way
Uhitaji kuremba kwa binadamu ambae hajielewi, hao wanaosema hukumtendea haki pengine wana masilahi yao binafsi huwezi jua
 
Cjui tunakoelekea ni wapi maana haya ni majanga
 
We jamaa juzi kati hapa ulisema humu JF ulikinajisi kitoto cha darasa la pili.

au ni yeye yan wat wengne bwana hawa wachna kutletea cm na laptop za bei rahsi ndo majanga mt anafkir alete uongo gan wa vijiwen humu jf loh
 
Back
Top Bottom