Nimetongozwa na shoga

Nimetongozwa na shoga

Tupanue mawazo, tujiulize maswali machache.
Kwa nini ushoga? Kwa nini usagaji?
Mambo haya yameanzaje? Kwa nini yamekua na kushamiri?
Kuna starehe gani ktk matendo haya? Kwa nini watu wanakimbila huko? Wamegundua nini? Kuna mvuto au raha zipi?
Wateja wa hawa watu ni akina nani? Wanakosa nini kwa jinsia zao?
Je ni soko limeshuka la wanaume kwa wanawake au wanawake kwa wanaume?
Unamt..omb mwanaume mwezio! Hainiingii akilini!
Wee mwanamke! Unamt ...0mbaje mwanamke mwezio?
Naombeni majibu!
 
Habari zenu wana JF,

Siku ya jana nimekutana na mkosi wa aina yake ilikuwa mida ya saa 7 mchana nikitoka Sinza kuelekea Posta kufanya yangu .

Ndipo daladala ilipofika maeneo ya Magomeni alipanda jamaa mmoja kiukweli daladala haikuwa na abiria wengi kwani kulikuwa na siti za wazi nyingi na mimi nilikaa mwisho kabisa wa daladala cha ajabu na kilichonishangaza jamaa kaacha siti zote kaja kukaa na mimi akasema samahani kaka siti za mbele huwa sizipendi huku anachekacheka.

Akaanza kuniuliza kila kituo tukifika eti hapa ndo wapi,Maria leo fire foleni hamna,mara nimechelewa kazini nikifika tu navaa unform haraka alivyoona niko kimya akasema kaka vipi mbona we mpole hivyo nikajichekesha kidogo nikamwambia kawaida tumefika Jangwani akaanza kunitongoza kaka unaitwa nani,unaishi wapi,we ni last born nini umepanga au unaishi kwa wazazi alafu umependeza,nataka uwe mume wangu pesa ninazo.

Kiukweli uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtusi matusi ya maana sijui hata yalipotoka hayo matusi aibu ilimjaa sana jamaa ikawa habari ndani ya daladala.

Ilinibidi nishuke kituo ambacho sikupashwa kushuka,watu wengine mikosi sana.

Ndio uone kero za nyie mnapotomgozatongoza mademu
 
hembu weka sample picture yake tuone kama kama anafaa kidogo.
 
Kinachokufanya ucheke ni nini!!!!!???????
Watu wana save threads na comments ujue ngoja siku nikuwekee majibu unayotoaga humu!!!!!!!

Hey I ain't scared.

Each of those comments boldly states who I am.

One and Only Karucee, so bring it on.

Just be ready for this lioness

I have a feeling sobriety has put her back to her place.

She Rules.
 
Last edited by a moderator:
hembu weka sample picture yake tuone kama kama anafaa kidogo.
sikuweza mpiga picha mkuu nilikua na nokia ya toch c unajua tena ukitembea na sim zetu hiz za kisasa kwenye public service yanaweza yakakutokea majanga bure
 
Tupanue mawazo, tujiulize maswali machache.
Kwa nini ushoga? Kwa nini usagaji?
Mambo haya yameanzaje? Kwa nini yamekua na kushamiri?
Kuna starehe gani ktk matendo haya? Kwa nini watu wanakimbila huko? Wamegundua nini? Kuna mvuto au raha zipi?
Wateja wa hawa watu ni akina nani? Wanakosa nini kwa jinsia zao?
Je ni soko limeshuka la wanaume kwa wanawake au wanawake kwa wanaume?
Unamt..omb mwanaume mwezio! Hainiingii akilini!
Wee mwanamke! Unamt ...0mbaje mwanamke mwezio?
Naombeni majibu!

Jaribu nawe pia hapo utapata majibu....mambo kama haya unahitaji practical experience.....haya basi natumahii lilo jibu limekusaidia.
 
Tupanue mawazo, tujiulize maswali machache.
Kwa nini ushoga? Kwa nini usagaji?
Mambo haya yameanzaje? Kwa nini yamekua na kushamiri?
Kuna starehe gani ktk matendo haya? Kwa nini watu wanakimbila huko? Wamegundua nini? Kuna mvuto au raha zipi?
Wateja wa hawa watu ni akina nani? Wanakosa nini kwa jinsia zao?
Je ni soko limeshuka la wanaume kwa wanawake au wanawake kwa wanaume?
Unamt..omb mwanaume mwezio! Hainiingii akilini!
Wee mwanamke! Unamt ...0mbaje mwanamke mwezio?
Naombeni majibu!
mkuu unamaswali ya msingi sana tungewapata wahusika wakuu tutajua mengi
 
Sa kutongozwa tu ndo utangaze heeeee
ungekuwa wa kike ingekuwa ni tabu hapa

Inategemea umetongozwa na jinsia gani na we wa jinsia gani.Mwenyewe nshatongozwa na shoga moja linakaa sinza kwa Remy ila nkapotezea.Alafu video yake nimeiona youtube likikata mauno nkiipata ntaiweka.

Punga lenyewe hili.
 
Last edited by a moderator:
Umefanya la maana sana kumshushua, safi sanaaa
 
Back
Top Bottom