Nimetongozwa na shoga

Nimetongozwa na shoga

mmmmmmmmmmmh uuuupsi

hajakutajia jina lake???

kama una picha tuwekee ili tukimwona tumkimbie hawezi kukuambia hivi
sikumuuliza swali hata moja wala ckutaka cnvstn nae
 
haaa kumbe!

ndiyo hivyo ila nsikia ubakaji wao utafurahi.. huyo shaga ni mweupe.? kuna mmoja huwaakipita napenda sana mwondoko wake kwa sababu huwa lazima nicheke... siku moja akaniuliza unacheka nini dada nikamwambia mwondoko wako waniua huku nyuma... akanigeuzia jicho akakunja usi akaniambia asante akaondoka.. huo mwendo ilikuwa balaaa alivyoongeza madoido
 
kawaida tu mbona hao watu, cha ajabu nini sasa hapo? kwani huyo sio binadamu, we ungemjibu kistaraabu sitaki, sasa mpaka utukane? ndio maana wewe uliona aibu ukaanza kushuka, mwenzako akaendelea na safari.
 
yule alikuwa maji ya kunde halaf kajipodoapodoa alaf akiongea ananilegezea macho na mkufu shingon
 
Pole sana mkuu.....! Ungemwelekeza kwa mama Rwakatale wengi amewaombea wameacha kamchezo hako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kiukweli uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtusi matusi ya maana sijui hata yalipotoka hayo matusi aibu ilimjaa sana jamaa ikawa habari ndani ya daladala.

Hivi nchi yetu imekataa Ushoga kama Uganda?
 
kawaida tu mbona hao watu, cha ajabu nini sasa hapo? kwani huyo sio binadamu, we ungemjibu kistaraabu sitaki, sasa mpaka utukane? ndio maana wewe uliona aibu ukaanza kushuka, mwenzako akaendelea na safari.
aisee mambo ya kijingajinga mi huwa sipendi kabisa
 
We jamaa juzi kati hapa ulisema humu JF ulikinajisi kitoto cha darasa la pili.
 
Pole sana mkuu.....! Ungemwelekeza kwa mama Rwakatale wengi amewaombea wameacha kamchezo hako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
good idea sikuwa na hilo wazo mkuu
 
Back
Top Bottom