Nimetongozwa na shoga

Nimetongozwa na shoga

Mleta maada kachanganya desa kasema Fire kisha katurudisha Jangwani.
 
Mleta maada kachanganya desa kasema Fire kisha katurudisha Jangwani.
tatizo hujasoma uzi ukaelewa unaelewa maana ya nukuu?yeye kaniambia fire na wala c usalama
 
Khaa Mi Nilikutana Na Mkoboaji Wodin Nikiwa Nimelazwa Alivyonikera Ikabdi Niombe Discharge Duu Wanakera Kweli
 
yaani mm ukiniuliza upuuzi nakujibu upuuzi ndivyo nilivyo
mi sio mwarabu aisee
mtu -------- c wezi kupoteza mda wangu
##mpole sana,nimeshajua ID yako
hapo ni vichaa wa Mirembe mmekutana
People might notice a difference
uwe mpole ndugu yetu,
ukali hausaidii
hawa ni binadamu waeleweshe madhara yake na sio kuwafokea au kuwatukana ndio maana umetuomba ushauri hapa JF
 
mkuu umemaliza?
 
Back
Top Bottom