Nimetongozwa mbele ya bwana wake

Wadau, wiki liliyopita nilikuwa moro kwa mambo yangu binafsi. Mishale ya saa tano nikatinga baa moja kupata maji ya ilala. Mezani nilipokaa nilikuwa peke yangu, kupiga funda tatu tu, jimama akajipitisha. Baada ya kufika mezani kwangu, akauliza kama anaweza kukaa, nikamwambia kaa. MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME KAZI. Naye akajiagizia, akaanzisha mazungumzo fastafasta, lakini akiwa tayari kalewa, akajitambulisha yeye ni mwalimu, mc, ana undugu na mwanasheria mkuu wa serikali aliyestaafu (Mwanyika kama sijkosea), vile vile ni mjasiliamali, longolongo kibao. Wakati huo sijamaliza hata serengeti moja niliyojinunulia, akaniagizia. Nikashukuru ila nikamwambia mhudumu akae nayo kwanza maana ilikuwa ugenini na bado sijasoma ramani vizuri.

Awali nikahisi mwanamke yule ni chizi au ana frustration. Akanyanyua simu kumpigia mtu, huku sijui hili wala lile akaja mwanaume mmoja akamkwapua ile simu. Nikaanza kupata ramani ya vita. Jimama likaniomba angalau namba ya simu huku likidai hali ya hewa imechafuka, ikibidi nimpatie mhudumu ili ampatie, bado nazubaazubaa, yule mwanaume akarudi akamwaga pombe iliyokuwa kwenye grasi ya jimama na kufoka "kwani huku kwangu pombe zimeisha". Hapo nikahama meza.

Jimama hakuridhika, akamwachia maelekezo mhudumu amchukulie namba yangu, jimama akaondoka na bwana wake. Kufika mbele jimama akarudi bar, bwana wake akarudi kumchukua tena, ndio wakaondoka jumla.

NILICHOJIFUNZA
• Hata wanawake wanajimwagia sifa wakati wa kutongoza
• Wanahonga ili kutongoza
• Ukiwa ugenini kuwa makini na kila mtu aliyekaribu yako
NB: Baada ya jimama kuondoka, nilimwambia mhudumu aniletee bia yangu ya ofa ya itokanayo na kutongozwa, japo nilikoswakoswa

samahani sana mkuu hivi hayo sio maji temeke maeneo ya kibasira na sio ilala..

Haya haya tena ndugu watazamaji; Jimama ameondoka ila sasa Mdondozi wa mambo atueleze; baada ya kubadilishana namba za simu mbona hutuambii kama alikupigia au ulimpigia? mmmh huko siko mwaya nimeuliza tu!
Jimama sikupata namba yake wala yangu sikumpatia. Lilikuwa tukio la dakika ishirini nilikuwa natafakari kwanza, ili nijue way foward. Kumbuka ni ugenini hata kiuchochoro cha kupitia mkivamiwa na majambazi nilikuwa bado sijakitafuta

thread yako inatufundisha nini?..am so sorry to ask that na naamini hutochukia wala kujibu kwa jazba coz u r a great thinker..ahahahahahaaa thanx great thinker.
1. Ulevi noma, maana alinitongoza akiwa amelewa
2. Ukiwa na mwanamke wa namna hiyo, inabidi uchukue uamuzi mgumu
3. Ukiwa ugenini, soma kwanza ramani. Kama ningemchukulia poa na kuzama naye, sembuse nilishapigwa kwa chupa, bz sikuwa na mtetezi.

Naona mkuu kama ukupiga baadae umeliweka katika orodha ya baadae ukienda tena ili ukalitafune nakujua wewe mroho uwezi kuacha jimama kama hilo limejilengesha!

samahani sana mkuu hivi hayo sio maji temeke maeneo ya kibasira na sio ilala..

mmmmmmmmhhhhhhhhhhhh!...hapo sasa,...bura umeinyaka marketing manager wa serengeti_maake ingekwenda hiyo

Wadau, wiki liliyopita nilikuwa moro kwa mambo yangu binafsi. Mishale ya saa tano nikatinga baa moja kupata maji ya ilala. Mezani nilipokaa nilikuwa peke yangu, kupiga funda tatu tu, jimama akajipitisha. Baada ya kufika mezani kwangu, akauliza kama anaweza kukaa, nikamwambia kaa. MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME KAZI. Naye akajiagizia, akaanzisha mazungumzo fastafasta, lakini akiwa tayari kalewa, akajitambulisha yeye ni mwalimu, mc, ana undugu na mwanasheria mkuu wa serikali aliyestaafu (Mwanyika kama sijkosea), vile vile ni mjasiliamali, longolongo kibao. Wakati huo sijamaliza hata serengeti moja niliyojinunulia, akaniagizia. Nikashukuru ila nikamwambia mhudumu akae nayo kwanza maana ilikuwa ugenini na bado sijasoma ramani vizuri.

Awali nikahisi mwanamke yule ni chizi au ana frustration. Akanyanyua simu kumpigia mtu, huku sijui hili wala lile akaja mwanaume mmoja akamkwapua ile simu. Nikaanza kupata ramani ya vita. Jimama likaniomba angalau namba ya simu huku likidai hali ya hewa imechafuka, ikibidi nimpatie mhudumu ili ampatie, bado nazubaazubaa, yule mwanaume akarudi akamwaga pombe iliyokuwa kwenye grasi ya jimama na kufoka "kwani huku kwangu pombe zimeisha". Hapo nikahama meza.

Jimama hakuridhika, akamwachia maelekezo mhudumu amchukulie namba yangu, jimama akaondoka na bwana wake. Kufika mbele jimama akarudi bar, bwana wake akarudi kumchukua tena, ndio wakaondoka jumla.

NILICHOJIFUNZA

Hata wanawake wanajimwagia sifa wakati wa kutongoza

Wanahonga ili kutongoza

Ukiwa ugenini kuwa makini na kila mtu aliyekaribu yako

NB: Baada ya jimama kuondoka, nilimwambia mhudumu aniletee bia yangu ya ofa ya itokanayo na kutongozwa, japo nilikoswakoswa

Ungemkataa angekubaka

Back
Top Bottom