Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
HALITANISAIDIA KABISA Naomba Unipe Namba Yake Ya Simu Au Jina La Akaunti Yake Ya Facebook Au Wattsapu Ili niweze kumwona kwa sura.
Mmh mme wake kishanipm ndugu mi sitaki kupigwa vichwa kisa udalali wa mapenzi....
Duuuu.... mie sihusiki hapo mkuu...Nani kwanza unamlilia hapa ni huyu nameless girl? maana kuna sehemu nimeona kakumention kama wewe ni wake hebu eleza vizuri ueleweke
HAPANA SIYO HUYO SIYO HUYO KABISA ninaye mzungumzia mimi kama unamfahamu ni mpole mstaarabu sana humu jamvini na ni mcheshi mno pia huwa anapenda sana kushinda jukwaa la celebreting forums na jukwaa la congrat complaint and advice .kwa maelezo haya naamini utakuwa unamfahamu.
Amekwambiaje naomba ni PM alicho kwambia maana mbona nimesikia kuwa D------ yupo single tena anaishi Dar-re--sa Laaam Hizi taarifa zinazosema ya kwamba ni mke wa mtu ni za uongo na nimesikia kuwa ni njia anayoitumia ili kuzuia kusumbuliwa humu jamvini.
NAYE MZUNGUMZIA SIYO HUYU Naomba Msimwite Kabisa Huku Asije Na Yeye Akanipiga Chini Kama --------- Alivyofanya.
hahahaaaaaaaa kwahiyo mie sio mstaarabu???
Mmh mme wake kishanipm ndugu mi sitaki kupigwa vichwa kisa udalali wa mapenzi....
Aseee mapenzi upofu, ila we unajipofusha....
kila siku hapa wasukuma tunasema (wanajibusu) na mme wake we unasema yupo singo
ooh muke ya musukuma, mume wake anaitwa R....m
nitasutwa sasa
Eti haaminii kama Redlum ni mme wangu ataamini labda Yesu akirudiii nameless girl msaidie huyu mtu mi aniwache
Haya ushaweka mambo hadharani akizidi kukomaa hapendi meno yake ya sebleni...
tutakula nyama anatuangalia tu
Eti haaminii kama Redlum ni mme wangu ataamini labda Yesu akirudiii nameless girl msaidie huyu mtu mi aniwache
Mpende akupendaye.
PM zitakiwa hazina majibu..!!
wanaume kweli tumeumbwa shida..lol
TATIZO nameless girl anapenda hela sana NAHISI tukifunga naye ndoa huenda tukawa tunagombana naye kila siku na kwa jinsi mimi nilivyo mbahili na nilivyo na hasira sijui itakuwaje
Eti haaminii kama Redlum ni mme wangu ataamini labda Yesu akirudiii nameless girl msaidie huyu mtu mi aniwache
Asiye Kupenda USIACHANE NAE Bali nikuendelea KUKOMAA Mpaka Mwisho Uwe Mzuri.MIMI NITAKOMAA Maana Upendo Wangu Umekuwa Mwingi Kwake Kama Nikiongea Naye Tu Humu Najisikia Raha Sijui NIKIONANA NAE LIVE ITAKUWAJE kwa kweli ----- anautesa moyo wangu sana .Mpaka sasa sijaona mrembo yoyote atakayeweza kuziba pengo lake ndio maana naendelea kukomaa hata kama hanitaki nikiamini ya kwamba huenda moyo wake ukabadilika na akaanza kunipenda kama navyo mpenda.