Nimetokea kukupenda Sana

SAYANSIKIMU nimeshakuulizaga kit kimoja............!
Chili somo bado linafundishwaga darasani kwa kipindi hiki cha ufisadi kutanda????

Mkuu mpaka sasa mrembo------ kashaniacha na hana mpango na mimi .SUBIRI KWANZA TUPATANE NAYE NDIPO BAADAE NITALIJIBU SWALI LAKO.
 
Last edited by a moderator:
Ni ajali tu imetokea kwa bahati mbaya kati yangu na mrembo------ Mwanzoni tulikuwa tunazungumza naye vizuri nikiamini tutafika naye mbali lakini ghafla kanigeuka.

hahaha hivi ule msemo kwamba "ukienda kwa jirani kuomba mkeka ukifika sema kilichokupeleka sio unaanza stori nyingine..." ulidhani ni msemo usio maana? sasa wewe umeendelea kuzungumza nae vizuri amefika mwengine kasema anachohitaji unafikiri mrembo....ataacha kukugeuka? pole sana.
 
We humu utatongoza wake za watu shauri yakoo humu pia kuna majiniii atii
 
Umeona eeeeh ujue penzi ni kikohozi watu wakitoa ya moyoni
unajidai na kufungua thread oooh hayo mambo muandike pm
mbona we umeandika hadharani?

imarisha tongozo lako mtumie hela maneno hata kwenye tishirt yapo....ushauri tu!!!
 
Umeona eeeeh ujue penzi ni kikohozi watu wakitoa ya moyoni
unajidai na kufungua thread oooh hayo mambo muandike pm
mbona we umeandika hadharani?

imarisha tongozo lako mtumie hela maneno hata kwenye tishirt yapo....ushauri tu!!!

Wengine witumiwa PM haziingii au hazijibiwi sasa nitatumaje.Na kuhusu kumtumia hela nimeshindwa maana hataki kunipa contact zake.
 
Hahahahahaha
Heaven on Earth hii ndio raha ya jf, huyu jamaa ni wa pekee na comment yake huwa ni hiyo hiyo!
Kwakweli huwa ana niacha hoi!
Am happy is back..........

hanaga comment nyingine zaidi ya hizo
pale imebidi nijihadhari hakawii kuniambia hayanihusu
aliadimika naona karejea maana leo nimemuna kwenye
baadhi ya post nimekutana nae
 
Nani kwanza unamlilia hapa ni huyu nameless girl? maana kuna sehemu nimeona kakumention kama wewe ni wake hebu eleza vizuri ueleweke
 
Nani kwanza unamlilia hapa ni huyu nameless girl? maana kuna sehemu nimeona kakumention kama wewe ni wake hebu eleza vizuri ueleweke

HAPANA SIYO HUYO SIYO HUYO KABISA ninaye mzungumzia mimi kama unamfahamu ni mpole mstaarabu sana humu jamvini na ni mcheshi mno pia huwa anapenda sana kushinda jukwaa la celebreting forums na jukwaa la congrat complaint and advice .kwa maelezo haya naamini utakuwa unamfahamu.
 
Hivi utampendaje mtu usie muona? Hamjawahi kukutana na wewe kichwa juu juu eti nakupenda.

This is ridiculous

Hata mimi sijajua kwa sababu gani NIMEJIKUTA TU NAMPENDA SANA HUYU MDADA Najikuta na muwaza waza moyoni vitu vingine ni vigumu kueleza kwa kweli.
 
Back
Top Bottom