Nimetokea kuipenda JF

Nimetokea kuipenda JF

Ngaramanyagu

Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
31
Reaction score
51
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi.Hongereni wote mlioanzisha JF.Naomba mnipokee,Nawasilisha kwa member wote;
 
Karibu sana ila jiandae kisakolojia kuwa tayali kwa lolote lile kusifiwa kukosolewa kukataliwa ukweli unaoujua
 
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi;

KARIBU SANA MKUU
 
Angalia na wewe usije ukawa na akili za kilumumba lumumba, JF ina jenga na kuharibu pia usipokua makini
 
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi.Hongereni wote mlioanzisha JF.Naomba mnipokee,Nawasilisha kwa member wote;
Karibu sana
 
Back
Top Bottom