Nimetokea kuipenda JF

Nimetokea kuipenda JF

We kama denti kuwa makini Humu Bakora Hazijapigwa marufuku!
 
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi.Hongereni wote mlioanzisha JF.Naomba mnipokee,Nawasilisha kwa member wote;
Karibu sana.
 
Back
Top Bottom