Nimetokea kuipenda JF

Nimetokea kuipenda JF

Asanteni sana kwa kunikaribisha,kifupi nipo singo na si denti,ni mjasiriamali,Evelyn na wengineo mjue hilo,tupo pamoja.
 
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi.Hongereni wote mlioanzisha JF.Naomba mnipokee,Nawasilisha kwa member wote;
Hongera.!! kwa kuligundua hilo




 
Wewe ipende tu jf mwenzako aliipenda juzi kama analialia apa, kuwa makini
 
Back
Top Bottom