Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Zero IQ namba mbili!Bila shaka ulimchichichichichichichiichiii kama kawaida yakooo .....[emoji2][emoji2][emoji12]
Safi sana na hongereni
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Zero IQ namba mbili!Bila shaka ulimchichichichichichichiichiii kama kawaida yakooo .....[emoji2][emoji2][emoji12]
Safi sana na hongereni
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa son hebu tuonge vitu vya msingi!!Nimekumic mamiii...yani sijui kwann niliona kuna kitu kimemis kukosekana uwepo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Abee!Ha ha ha ha Mzee, hawa viumbe huwa wanakumbuka sana ukideal na haya mambo kwa uweledi na umahiri uliotukuka....
Ha ha ha Jael labda angepewa hela ndio angefanya hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unanitaja huku unatetemeka?Mzee.... huu msemo umetoka kwa ex wako nini? Au Jael
Utoe pesa za maana, husahauliki hata ukifa.Wanasema kosea vyote ila usje ukapiga show mbovu....
Historia naamini imekubeba Lijendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kwahyo unataka kusema yule ndugu yangu alikua anatoa sana pesaUtoe pesa za maana, husahauliki hata ukifa.
Sanaaaa.Ha ha ha kwahyo unataka kusema yule ndugu yangu alikua anatoa sana pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa chokoraa siku hizi[emoji134][emoji134][emoji134]
Sasa son hebu tuonge vitu vya msingi!!
Ni yupi sasa unavuta ndani utulie kabla sijakupoteza?
Kwahiyo mimi peke yangu ndio mmeniacha natumia infinix?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mungu anawaona.
Cc Zoë
Tuongee hapa hapa, mbona haya mengine umeyaongea hapahapa?
Unacheka eeeh?
Tuongee hapa hapa, mbona haya mengine umeyaongea hapahapa?
Unacheka eeeh?
Vip mdogo wangu..... umenimiss eeh.Mbona unanitaja huku unatetemeka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vip mdogo wangu..... umenimiss eeh.
Nimekumiss pia.