Nimetimiza Thanks ya 100

kwa kweli.....mi sijaona sababu ya kutaja dini hapo....unless una lako jambo

Sikujua kuwa niliposema mimi ni Mkristo italeta shida, ila nia yangu ni kuonyesha jinsi nilifundishwa katika imani yangu na wala si kuanzisha au kuleta chokochoko za kidini. Naomba mchukulie poa na niliowakera, samahani.
 
mwanzoni sikuelewa heading yako ingawaje umetufumba kdogo
sasa huko kutimiza 100 maana yake nini?


Mimi ni mkristo, imeandikwa ni heri kutoa kuliko kupokea, leo nimetimiza thanks ya 100, nimeamua kumpa mtu ambae kwangu naona ametoa point nzuri sana (kwa kipimo changu), naye ni Mwanajamiione kwenye thread ya tatizo la LD. Salamu pia kwa Nyamayao ambaye naye kwangu mimi ni kati ya wake bora( na wengine wapo), sijawahi ona akijibu kwa hasira hapa JF, ila amepotea sana siku hizi.
 
mwanzoni sikuelewa heading yako ingawaje umetufumba kdogo
sasa huko kutimiza 100 maana yake nini?

Duh! umeifufua wapi hii nilishasahau, ni kitambo. Sidhani kama nilimaanisha tofauti na nilivyosema. Yaani ni baraka kutoa kuliko kupokea.
 
Hongera ila kuna watu wana elfu 9 tayari

Ndugu kuna watu nadhani wanashinda humu JF, nenda jukwaa lolote utamkuta anapambana ku post mavitu, hakuna linalompita, iwe siasa au jukwaa la wakubwa, jokes/udaku, kimataifa, biashara, hata u doctor na uanasheria utakuta yeye ni bingwa.
 
Back
Top Bottom