Nimetimiza mwezi mmoja JF, lakini..............

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,154
Nilijiunga na JF siku kama ya leo baada ya kuwa guest kwa miaka kadhaa.Sababu kubwa ya kujiunga ilikuwa kupata fursa ya kuchangia mawazo na inapobidi kuanzisha thread.


Kwa ujumla ni mengi nimefaidi hasa kutoka kwenye lile jukwaa la Great thinkers na bila kusahau mada kadhaa kwenye majukwaa ya MMU,Elimu na Chitchat na pia kupata marafiki.Yapo pia ya kuudhi na kukasirisha lakini hayo ni maisha ya kawaida penye wengi.


Total post……………………268
Likes received…………….65
Likes given………………….159
Ban…………………………….0
Multi ID……………………..0

Asante kwa walionikaribisha, kwa harakaharaka namkumbuka Nitonye ambaye yupo selo sasa hivi na young master.
 
Back
Top Bottom