Nimetia aibu kubwa ukweni

Nimetia aibu kubwa ukweni

Hao ni shemeji zako,toka huku unaanza kuwatania kwamba "kicheko chenu nimekisikia nikatamani nije niwaite mnisaidie kushusha zigo....endelea hivi,...hizi mbege zenu hazifai kabisa maana zimeniharibia tumbo langu na mna deni la kulipa..." Then anzisha stori mpya kwa kadri ya ulivyowazoea na mkeo atakusupport.
 
Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kaza sura toka nje. Utazidi wapa Mawazo ya kuwa umehamia Toilet!!?
Pole sana. Soma comment Yangu kisha Uchomoke
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka

Hao waliocheka ndio hawana adabu, ndio walioaibika wala sio wewe. Kwa sababu ni mashemeji, ukitoka waulize kama wao hali hiyo haijawahi kuwakuta, halafu waelezee shida na unafuu uliopata.
 
Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji

Teh teh teh teh teh.. Au unasugua ndoo chini kukata sauti ya pratatatatattatataaa...
 
Bora uombe jirani ya wife wako akuletee hijabu /baibui ili ufunike hadi macho kama unaona noma kutoka.

Pia, next time usifanye huo upuuzi wa kukata gogo ukweni.

Mwisho, wewe acha kuwa kilaza, utauguaje tumbo la kuhara na ukaendelea na safari tena ukweni !?

Laiti kama ungekuwa karibu nami ningekuwasha vibao, maana umeibisha wanaume.
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Inaonekana ulivyo fika hi way.liver pool.mombo motel no.ulikula kwa kutamani Hilo ndio tatizo lako
 
Siku engine uwe unasindikiza na kikohozi kdogo kuua soo la uharo!!
 
We ukitoka ukiangalian a nao maombs mmoja maji ya kunywa utakuwa umewatoa kwenye mstari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom