Nimetia aibu kubwa ukweni

Nimetia aibu kubwa ukweni

Ukitoka wakazie macho bila kukwepesha wala kuwachekea ikiwezekana wasalimie tena kwa mala ya pili
 
Dah.... Usinambie Kama Moshi ni washamba kiasi Kwamba hata hawajawahi kuona mwanaume akiharisha[emoji15] [emoji15]
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uhare alafu usile si unaweza ukafa hahahaaa
hahahah ukitoka shikilia tumbo halafu unainamana kidogo kama mtu mwenye maumivu makali ya tumbo, watakuonea huruma wenyewe na kukupa pole, hawatacheka tena, omba kitanda ukapumzike kidogo, na chakula chao usile. hawana adabu hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom