Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Ntaacha vipi nafungulia mziki mkubwaa ili ule mlio wa kuharisha usiskikeWe umeacha kwenda na laptop toilet
Ntaacha vipi nafungulia mziki mkubwaa ili ule mlio wa kuharisha usiskikeWe umeacha kwenda na laptop toilet
Hahahahhahahahhaa yan uliacha mapori yote na baa zote mpaka ukaenda kukata gogo ukweni.......ukweni unatakiwa kujikaza wajue kuwa hata huwa hauendi chooLeo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Watakua wanajidai nziHao shemeji zako wamekosa kwa kukaa wakakae chooni?
HahahahaaNtaacha vipi nafungulia mziki mkubwaa ili ule mlio wa kuharisha usiskike
mh kila niendapo nawe upo!!Hao shemeji zako wamekosa kwa kukaa wakakae chooni?
Aisee we mtaalamMkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
Hahahahaha!!Unakunyaje ukweni.. Huko ni kukosa adabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
Ili uwaaminishe we ni jini sio?...mkuu kama hiyo milio isingetoka ungepiga hata ile ya mdomo mbruuuu.Halafu unatoka mkavu kabisa hakuna kubatasamu.Hahahahhahahahhaa yan uliacha mapori yote na baa zote mpaka ukaenda kukata gogo ukweni.......ukweni unatakiwa kujikaza wajue kuwa hata huwa hauendi choo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ila mara nyingi tumbo la kuhara uwa linashika usiku wa mananeNtaacha vipi nafungulia mziki mkubwaa ili ule mlio wa kuharisha usiskike
Never boringJF bhanaa!!