Nimetia aibu kubwa ukweni

Nimetia aibu kubwa ukweni

Mkuu hiyo no ishara kwamba huko uliko na Dada yao hamlali njaa be confident toka humo huku ukiachia tabasam mubashara wataona aibu wenyewe
 
Jifanye umezimia, story ya kuharisha itaisha watahangaika na wewe waokoe uhai wako, na ukizinduka watakupa pole
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
..Kamua Kamua Baba
 
Unaandika thread chooni?simu ikidumbukia je?
 
mimi
..jamaa anatamani Ardhi ifunguke ajifukie kwa Mda
mimi nimewahi kuaguka mbele ya darasa chuoni....yani nilikua nimechelewa watu wote wanapiga pindi ndio nikajikwaa kwenye wire ya projector nikaanguka mzima mzima.....ilibidi nijifanye nimezimia wakanitoa class wamenibeba.
hio fix ilinisaidia coz watu badala ya kucheka wakaanza kunionea huruma
 
Hivi Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kunya Ukweni?

Mwanaume wa Dar kwakweli.
 
HAHAHAHAAA. Hao mashemeji huwa haugui matumbo au umbea tu unawasumbua?
Tatizo choo huwa hakina mlango wa siri wa kutorokea ukipata ajali kama hizo.
Wangeshangaa mabomu yamekata, shemu yuko sebuleni anakunywa mbege mdogomdogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ickute dada yao aliwaambia karni mkao... Nawaleteen muvi! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..JF raha sana..
 
Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kisindikiza mahari hicho ulichofanya kaka, wala usihofu [emoji2][emoji106]
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Kumbe una cm chooni simple tu
Nenda google omba milipuko ya mabomu kisha rekodi. Ukitoka wafuate walipo fungua hiyo application yako ya miripuko ya mabomu watajua ni cm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom