Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Hata hawana habari na wewe unajistukia tu.
Hahaha! Hizo ndio technique zakutumia. Unamwaga maji kwenye ndoo halafu unafungulia kwenye ndoo tupu halafu unaachia vinaenda simultaneously.Mimi kama hali ikiwa hivyo nikiingia toilet kama kuna kitu chochote nakiburuza niunganishie hukohuko au unaflash unaendelea hapo hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
humu rah san jfHAHAHAHAAA. Hao mashemeji huwa haugui matumbo au umbea tu unawasumbua?
Tatizo choo huwa hakina mlango wa siri wa kutorokea ukipata ajali kama hizo.
Wangeshangaa mabomu yamekata, shemu yuko sebuleni anakunywa mbege mdogomdogo
Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
Hahahaha Nimecheka sn aise. Sema ili kuwafundisha adabu hao mashemela wako, toka usijibizane na mtu nyoosha moja kwa moja home. Ili wajue umechukia na walichokifanya sio heshima na wazazi wao wajue watoto wao hawana adabu.
kma mmiHumu unaweza kucheka hadi ukaharisha
Akishaondoka atakaemfuata kwa vyovyote vile atakua mkewe, atamuhadithia kila kitu, huyo mke ndiyo ataenda kuamsha dude kwao. Kama wanabusara lkn.kwhyo awambie wazaz kwamba alikua ana hara wanae wakamcheka au