Nimetia aibu kubwa ukweni

Nimetia aibu kubwa ukweni

mashemeji ndio hawana adabu. ningekua mm ningepaza sauti " mwabieni dada yenu aniongezee maji bado naharisha, alete lita kumi " kama mbwai mbwai tu...!!!

Kwanza angetoa ishara wakati anawapita shemeji zake anaelekea toilet angepiga bomu moja kuwaweka vizuri kisaikolojia shemeji zake waizoee ile hali
 
Kohoa kidogo ndo utoke...
Halafu Jifunze ukiwa chooni fungulia bomba liwe linatoa maji hamna atakae sikia kinachoendelea, kama hamna bomba basi yale maji kwenye ndoo wakati unarekebisha we endelea kuyachota na kumwaga chooni, gonga kopo kwenye ndoo ili kupoteza ushahidi wa sauti mubasharaaa
Inategemea ukweni ni mjini ama kijijini!, afu upatikanaji wa bomba chooni
 
Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
mkuu ni kweli huu mchezo wa kuchezesha maji unasaidia sana kupunguza zile sauti
 
Shirikisha akili, kama ulikuwa na simu ungefungulia muziki kwa sauti ili wasikie muziki then unaharisha kwa raha zako
Hivi kama tumbo limekushika kweli utapata hata muda wa kufungua simu maana ukichelewa mzigo unaushusha kwenye suruali [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
hahahah ukitoka shikilia tumbo halafu unainamana kidogo kama mtu mwenye maumivu makali ya tumbo, watakuonea huruma wenyewe na kukupa pole, hawatacheka tena, omba kitanda ukapumzike kidogo, na chakula chao usile. hawana adabu hao.
 
wala usijali man kwasababu na hao shem zako wakwe zako hilo tendo wanalifanya usiogope tena ukitoka toe wape n hi
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Mkuu hata kama unadanganya jipange. Hivi unajua tumbo la kuhara au unalisikia? Kifupi halizuiliki la sivyo utajinyea
 
Endelea kuharisha na record hyo sauti ya kuhara kwenye cm na uweke ndio mlio wa kuitia....kabla hujatoka toilet mpigie waif mwambie akupigie na akikupigia toka na cm jifanye upo bze na usipokee ili mashem wajue ni mlio wa cm na c ww ulkua ukiharisha[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom