Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,836
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]hahahaaaaaa mkuu bomoa ukuta utokee kwa nyuma uchape rapa..
au jifanye umezimia chooni ili kuua soo lote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]hahahaaaaaa mkuu bomoa ukuta utokee kwa nyuma uchape rapa..
au jifanye umezimia chooni ili kuua soo lote
Kama sio yeye vile ha ha haHAHAHAHAAA. Hao mashemeji huwa haugui matumbo au umbea tu unawasumbua?
Tatizo choo huwa hakina mlango wa siri wa kutorokea ukipata ajali kama hizo.
Wangeshangaa mabomu yamekata, shemu yuko sebuleni anakunywa mbege mdogomdogo
Jamani hivi kwa mfano unakaa ukweni week nzima utakua haunyi?na hiyo sheria ya kutokunya ukweni imetoka wapi looh si utarudi kwako umevimba tumbo sasa kama una utapiamloHivi Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kunya Ukweni?
Mwanaume wa Dar kwakweli.
Imebidi tu nichekeUnakunyaje ukweni.. Huko ni kukosa adabu
Hata kama unakunya ila sio kiboya boyaJamani hivi kwa mfano unakaa ukweni week nzima utakua haunyi?na hiyo sheria ya kutokunya ukweni imetoka wapi looh si utarudi kwako umevimba tumbo sasa kama una utapiamlo
mashemeji ndio hawana adabu. ningekua mm ningepaza sauti " mwabieni dada yenu aniongezee maji bado naharisha, alete lita kumi " kama mbwai mbwai tu...!!!Imebidi tu nicheke
Hahahahaaa...we jamaa acha basi ujinga, kwanini lakini??? nimecheka mpaka basi dahMkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka

Hata kama unakunya ila sio kiboya boya
Kwanza Mwanaume aliyepitia jando hatakiwi uende chooni kijinga eti mbele ya mashemeji zako.
Mfano kule kwetu watoto wadogo hawajui kama wanaume wanakunya.
HahahaHahahahaaa...we jamaa acha basi ujinga, kwanini lakini??? nimecheka mpaka basi dah