Nimetia aibu kubwa ukweni

Nimetia aibu kubwa ukweni

mi zamani ilikuwa inanipa tabu sana watu wanaokaaga karibu na choo lakini siku hizi sijui nimekuwaje hta kama naenda kukojoa na simama kwa ujasiri tena bila kupepesa macho wala kumumunya maneno nawaambia aiseee "Tokeni hapo bhana mi nataka nikanye"
 
Umefanya vizuri KUWACHEKESHA....Pia Wahindi na Wazungu kwao KUACHIA ushuzi ama kupata Tumbo la kuhara kwao no sehemu ya BURUDANI......

Mwenzio nimewahi kwenda UKWENI ndugu wote walinichukia na kusema niko "SIRIASI" Hakuna nilie cheka nae kwa siku hiyo....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf ina machizi kweli kwaiyo upo na simu chooni
Hahah
 
mi zamani ilikuwa inanipa tabu sana watu wanaokaaga karibu na choo lakini siku hizi sijui nimekuwaje hta kama naenda kukojoa na simama kwa ujasiri tena bila kupepesa macho wala kumumunya maneno nawaambia aiseee "Tokeni hapo bhana mi nataka nikanye"
Aiseee heshima yako neno
 
Shemeji zako wamekukosea adabu kukaa karibu na maliwato. Hivyo maana yake hata wazazi wao wakiingia maliwato, wao huwasikilizia.
Na sikuzote watu wenye tabia kama za shemeji zako ndio hua wanapenda kula chabo pindi yeyote anapo ingia maliwato
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Ukitoka zuga unaongea na simu...ukiwapita kajifiche ndani au chapa raba!!
 
kwani hicho choo hakina sound proof?
images-3.jpg

Choo kama hiki kitaachaje kutoa mirindimo kwamfano....[emoji13] [emoji13]
 
pole sana mkuu, ukitoka waambie tumbo linakusumbua watakuwa pamoja na wewe
 
Endelea kuhara zidisha Na kukema mmh mmh mmh,lazima waondoke au mwite wife kwa sauti
LA kwanza sawa ila hili LA pili nimecheka sana. Amwitie nini sasa kwamba amezidiwa au roho inataka kuacha mwili?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom