Dominick mibazi
Senior Member
- Nov 4, 2016
- 177
- 96
Ukiwa unatoka chooni watwange na msimbazi bok 10 kuuwa soo
Jf kiboko dahhhhh ......ukitoka na wewe cheka uwanyooosheLeo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
we noma aiseeeMkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
Hahahahaaaaaaa yan nimecheka hadi mbavu zinaniumaLeo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
Khaaa we nae kila kona [emoji23]Hahahahaa
Ukitoka smile huku ukiwaambia hao mabinti TUMBO LA KUHARA HALINA ADABU KABISA!Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka