nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,859
- 4,873
pole sana mkuu... ulipewa simu umsaidie kuiset....shetani mbaya sana....kwanza kahakikisha mkeo anatongozwa nje( hii haiepukiki), kahakikisha mpaka umejua na umemkanya, sasa si umejua... kaenda kukigawa kitumbua chako...daaahhh,,, aisee inauma sana, tena sana... yule jamaa hana kosa kabisa,, wanaume huwa tunatumia mbinu chafu na safi kufanikisha yetu....mkeo ndie mkosaji, anajua kitumbua mali yako, na ulimkanya....kakudhihirishia huna lolote si kitu....mimi hapa nakupa pole tuu....maamuzi ni yako..... na ndo ujue jamaa atakula kama kawa....na tena ukampiga sijui nini....mwanamke hapigwi mkuu...anaonywa then ana-adhibiwa..