Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

msamehe mkeo maisha yaendelee,
wala usikumbushie tena kilichotokea nyuma
mpende kama ndo mnaanza ,timiza wajibu wako
tena kama baba wa familia ,jitahidi usimkosee ,wahi kurudi nyumbani etc fanya kama hakijatokea kitu mkuu,HUO NDIO UANAMUME,
HIVYO TU
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo nae kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilicho kaa nae kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kuto kumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa ninamke mwaminifu kwa kipindi chote
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa ina msumbua akanipa ni msaidie kuiset sindio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anangangania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kmya nikamchana live kuhusu jamaa
Akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nika muuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua ku hack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipo juta hata kwanini nime ihack WhatsApp yake sikuya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana chart live.. Na wanatumiana pic kilichoniuma zaidi nipale wife alipo kuwa anamtumia jamaa pic za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo ni dondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wana tumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na pic pia nilichofanya nikawa na screen shot
Mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shoot ndio akakubali
Nilichokuja kugundua kumbe wife alisha amua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana secta hiyo..

Wa kuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi ni fanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedhea...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa mda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanamke hachungwi...........!!! acha kumfuata fuata. JIAMINI MWANAMME KUMFUATAFUATA KUTAKOLEZA BADALA YA KUMALIZA HILO TATIZO.
 
Hakuna ujinga kama kumfuatilia mpenz wako..daah poleni sana vijana na ndoa zitakua zinavunjika kila siku. Unapoamua kumspy mpenzi wako uwe tayari umejiandaa kuachana , kama hujajiandaa usimfuatilie.

Vuna ulichopanga baba, no way huo mzigo ndio unaliwa hivyo na huyo kuja kuacha daaaaaaaah sijui sasa amua tu vyovyote
 
msamehe mkeo maisha yaendelee,
wala usikumbushie tena kilichotokea nyuma
mpende kama ndo mnaanza ,timiza wajibu wako
tena kama baba wa familia ,jitahidi usimkosee ,wahi kurudi nyumbani etc fanya kama hakijatokea kitu mkuu,HUO NDIO UANAMUME,
HIVYO TU
Hakuna jambo la kimahusiano linalouma kama kut.ombewa mkeo, yaani inaumiza kuliko hata kifo. Hata tunapowat.omba wake za wenzetu sio kwamba hilo hatulijui, tunajua sana sema kuna mambo mengine inabidi yatokee tu ili maisha yaendelee. Oa ukutane na bahati mbaya ya aina hii utajuta kuoa
 
Wanabodi..

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shoot ndio akakubali
Nilichokuja kugundua kumbe wife alisha amua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana secta hiyo..

Wa kuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi ni fanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedhea...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa mda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, naomba ujibu swali langu. Ni ugunduzi wako kuwa ameshaliwa au alikwambia kuwa ameliwa? Ukijibu, nitakupa ushauri
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo nae kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilicho kaa nae kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kuto kumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa ninamke mwaminifu kwa kipindi chote
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa ina msumbua akanipa ni msaidie kuiset sindio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anangangania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kmya nikamchana live kuhusu jamaa
Akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nika muuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua ku hack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipo juta hata kwanini nime ihack WhatsApp yake sikuya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana chart live.. Na wanatumiana pic kilichoniuma zaidi nipale wife alipo kuwa anamtumia jamaa pic za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo ni dondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wana tumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na pic pia nilichofanya nikawa na screen shot
Mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shoot ndio akakubali
Nilichokuja kugundua kumbe wife alisha amua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana secta hiyo..

Wa kuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi ni fanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedhea...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa mda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna adhabu kubwa kama kumnyamazia mtu ili hali anajua unajua anachokifanya.

Ningekuwa mimi, ningemwambia kwa upole kabisa kuwa "Nimefahamu kuwa unatembea na flani" halafu unamuonyesha naushahdi then humgombeshi wala kumkaripia unapotezea kabisa kana kwamba hujui kinachoendelea.

Baada ya siku mbili atajinyonga au atakimbilia kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo nae kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilicho kaa nae kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kuto kumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa ninamke mwaminifu kwa kipindi chote
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa ina msumbua akanipa ni msaidie kuiset sindio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anangangania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kmya nikamchana live kuhusu jamaa
Akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nika muuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua ku hack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipo juta hata kwanini nime ihack WhatsApp yake sikuya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana chart live.. Na wanatumiana pic kilichoniuma zaidi nipale wife alipo kuwa anamtumia jamaa pic za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo ni dondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wana tumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na pic pia nilichofanya nikawa na screen shot
Mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shoot ndio akakubali
Nilichokuja kugundua kumbe wife alisha amua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana secta hiyo..

Wa kuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi ni fanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedhea...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa mda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Upelelezi ni kazi ya askari. Kulikoni ukaanza kumchunguza mkeo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom