Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Aweke tu kila mtu akamchunguze wake wanaume ndiyo watabumbuluka kweliAisee hayo maujanja ya kuhack account ndo ya muhimu hapa tupe matarial kama hutomind
Sent using Jamii Forums mobile app
Aweke tu kila mtu akamchunguze wake wanaume ndiyo watabumbuluka kweliAisee hayo maujanja ya kuhack account ndo ya muhimu hapa tupe matarial kama hutomind
Mkuu elekeza nguvu katika kulea mtoto wenu, maana hapo ndoa haina uzito huo tena, ila usiivunje, akili kichwani. Naomba na mimi unipe maujanja ya kuhack maana ni bora kujua ukachukua maamuzi sahihi.Wanabodi,
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission.
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha pili sio mvivu ni mchapa kazi. Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa. Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake.
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na SMS za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa.
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae.
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi.
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack WhatsApp ya wife kwa kutumia whatsapp web.
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi.
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta.
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya.
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli. Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji. Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo.
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa. Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje.
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha.
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa JamiiForums nimeona ndio kimbilio langu pekee.
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza.
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kila siku nasema lazima nicheck iwe mvua au jua ukimjua adui yako utajua jinsi ya kukabiliana naye eti kuogopa ujinga mkubwaSikubariani na hili yani watu mnaoshauri hivi ni sawa na akili za mbuni za kuficha kicha kwenye mchanga kisa hamuoni adui anahisi adui hmuoni pia.
Kujua ukweli ni bora zaidi ukachukua hatua kutotaka kujua ni ujinga na uoga na wala kutojua hakufuti ukweli
Mkuu umesema kweli huyo mkuu ndiyo maana mpaka sasa hajaoa bado kambeba ex wake kwanza kitendo chakumdhalilisha mbele ya wazazi sio kabisa laiti wangeyamaliza asingekuwa na stress kiasi hicho mie ni ile kupata taarifa na tibua eti nifuatilie nikafumanie kisa nini nikifa na pressure no hapo hapo hakuna kulala nyumbani mziki mpaka asubuhi anapoa mwenyewePole sana ila maandishi yako yananunurisha uchungu wa kusalitiwa na mkeo kwa hiyo ushauri wako umegubikwa na mhemko ila ujue mke wako si mke wa mdau hapa. Na ni mwanaume gani anajua uzinzi ni mbaya anaenda eti kulipiza kwa ndugu na rafiki wa mkewe? Nawe ni mzinzi tu sema mkuki kwa nguruwe. Hakuna kitu kinachohalalisha mtu kuchepuka lakini kosa ni kosa na kosa linaweza kusamehewa na mwenye uwezo wa kusamehe. Wewe uwezo wa kusamehe huna ila una uwezo wa kulipa kisasi. Huyo ni wewe, usimwaminishe mwenzio hakuna njia mbadala ya kutatua hili tatizo. Unaenda kufunua utupu wa ndugu wa mkeo na rafiki yake ukifikiri unamkomoa mtalaka wako kumbe unamwambia wewe ni mtumwa kwake. Ndiyo. Ndiyo maana ulihakikisha anajua. Ukajitumikisha kufanya ubaya eti kumkomesha mkeo. Matokeo yake mpaka leo umembeba, una hasira naye. Unasema ni miaka minne huongei na mama wa watoto wako na una uhakika na afya ya makuzi ya wanao kwa sababu kuna ndugu wanakulelea. Sawa kwa kuwa umesema. Hilo tu la kutokuongea na ex wako mliozaa pamoja ni mzigo mkubwa ambao kuna siku moyo utashindwa kuubeba. Mtu yeyote hata kama utabisha anaweza kabisa kuona hujapata pumziko au amani ya moyo bado. Simaanishi kuwa ungebaki nae ungekuwa nayo ila niseme tu uko sahihi kwa kuwa ni ulimwengu wako na mustakabali wako ila ndoa haina dawa moja, na wala si kweli tunaomshauri kutokukimbilia kuivunja ndoa yake ni wachepukaji, sana sana ni waathirika kwa namna moja au nyingine wa uchepukaji na ndoa zilizovunjika kwa hiyo tunaamini "restoration" inawezekana. Pia ndoa si sehemu ya kulelea watoto kwa sababu watoto wamewakuta ila kuwafikiria ni kiwango cha juu cha upendo - ule wa kujitoa kwa kuweka maslahi yako nyuma na yao mbele.
Wapo mkuu ambao hawajawahi gawa nje si wote viruka njiaMkuu kupigiwa kilo tu, Nani kupiga kupo tu cha msingi mume au mke asijue mke anapigwa au mume anapiga.
Back to the topic, as amarried man ten years in marriage to be honest inauma Sana tenacious sana kuchapiwa.
What I can advice you,kaa name mkeo, muulize the reason why aliamua kumpa huyo jamaa tunda lako la pekee, akuambie wapi umeshindwa kumrizisha.
Najua atasingizia shetan,mpe likizo ya bila malipo, I mean no phone call, to fyoko fyoko, najua atatuma watu wa kwao kuja kumuombea msamaa,.
Welcome her back home lakini mchimbe mkwara wa nguvu, ikiwezekana jamaa nae mchimbe mkwara wa kufa mtu.tena mwambie wife umemuwekea ile kitu ya kunasana, so asije akakulaum wakinasana.
Mwisho wa siku mtunze mkeo na mtoto wenu, mrizishe kunako six by six, muhudumie mpende for the better future of your family.
Hakuna mwanamke au mwanaume ambaye hajawai chapa nje ya ndoa.
Na akimuacha huyo jamaa anachukua jumla jamani mkaka ataumia sana bora wayamalize wafungue ukurasa mpyaTeh nipo mwenyekiti
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa lkn sababu ya mwanamke kuchepuka tusilazimishe kua labda ni ya mwanaume et kwa kua hakufanya hiki wala hakufanya kile NO. sababu ya mwanamke hasa huyu tunaemzungumzia kuchepuka,sababu ni yeye mwenyewe mwanamke,wala haihusiani na victim. Kama mwanamke anaona kunamapungufu njia nzuri ni kuzungumza na wala si kuchepuka. Kuchepuka ni tabia ya mtu tu.pole sana mkuu! naomba nisimame upande wa mkeo ingawa unaweza usinielewe kwasasa! hongera kwakuwa na mke ulie mwamini!jaman mie kila siku naongea kama mkeo nyuma alikua mwaminifu ukaja jua anachepuka sasa! yaan huwa kuna sababu nyuma yake(ingawa wengn huwa wanafake akikaa sawa anarud alipotoka )mie nadhan kuna visababishi vimempelekea kukucheat,amini hili!muweke mkeo karibu acha jazba muulize kwa upendo kbs hakika atakuambia!hakikisha unamwangalia sana usoni!ukiona hakupi majibu murua jua huyu ashahamisha hisia kwa huyo men!
Ila tuseme ukweli wanaume wngi Mnajisahau sana nini kumtimizia mahitaj yakeyote 90%! mwingne anajihis amekuwa LONELY!aic usisikie UPWEKE unaweza kukuua!mtext kilamara mkeo,mpigie simu!mfanyie visuprise vya hapa napale ikiwemo( besdei tu yu yake! walah huyo akikucheat ni kunguru asofugika! alafu weng sana wanashindwa kukuambia km unamboa kitandani so usijisifu sanaaaa kuwa upo poa pande hizo!
mbaya zaid mara nyingi mwanamke akishachepuka tu huwa ngumu sana kurudi ndan90%!labda uombee Mungu atibuan na mchepuko wake huko nje la sivyo utasumbuka!(binafs sishauri wanwake kuchepuka maana huwa tuna hisia za ajabu tunashindwa kucontrol hisia zetu) usimpige tena mkeo ulichompa kisago kimetosha!usije UA bure!
POLE SANA MKUU
kuchapiwa ni aibu sio swala la kutangaza hata mm ningejishaur kueashirikisha nnao wajuaWe umeshindwa kuwashirikisha ndugu zako lakini imetushirikisha sisi, ina maana unaiamini mitandao kuliko ndugu?........[HASHTAG]#unazinguaWewe[/HASHTAG]!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sioi kwa kuwa sina imani na wanawake tena sio eti kwa kuwa nimembena ex wife wangu kichwani. Hiyo ni dhana mufilisi. Pia nina vimali vyangu vya hapa na pale sikutaka kugawana. Nilimdhalilisha mbele ya wazazi wake sikutaka lawama. Eti tuyamalize, nonesense! Unamaliza nini wakati ushahidi unao. Kina nini cha kuongea hapo. Mwanamke atakudharau sana na ataendelea kukazwa kama mnyama. Haya mambo hayataki kukurupuka utaaibika au utaua bure. Wewe endelea kureason na mkeo msaliti halafu uone matunda yake. Wanawake wote hawa wamejaa niumize kichwa na mmoja, cmon!!Mkuu umesema kweli huyo mkuu ndiyo maana mpaka sasa hajaoa bado kambeba ex wake kwanza kitendo chakumdhalilisha mbele ya wazazi sio kabisa laiti wangeyamaliza asingekuwa na stress kiasi hicho mie ni ile kupata taarifa na tibua eti nifuatilie nikafumanie kisa nini nikifa na pressure no hapo hapo hakuna kulala nyumbani mziki mpaka asubuhi anapoa mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Eboh! wanawake wote hawa uumie kwa ajili ya mzinzi mmoja? Hivi umetembea ukaona utitiri wa wanawake tena maharage ya mbeya tu.Na akimuacha huyo jamaa anachukua jumla jamani mkaka ataumia sana bora wayamalize wafungue ukurasa mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna muoaji hapoNa akimuacha huyo jamaa anachukua jumla jamani mkaka ataumia sana bora wayamalize wafungue ukurasa mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometime binadamu huwa haridhiki bila kujali jinsia yake.
Kama atakua anakula vyakula vizuri kila siku basi ipo siku atatamani kula chakula kibaya... Lengo ni kubadilisha ladha tu.
Na hata yule anaekula chakula kibaya nae atatamani chakula kizuri.
Kinachotokea tu ni ile hali ya kukinai hata kama kitu ni kizuri. Nyama ni nzr lkn utakula siku zote na kuichoka siku moja.
Mkalishe chini mkeo na umweleze vile unavyompenda na jinsi alivyo muhimu kwako na kwa pamoja kama familia. Mkumbushe vile ambavyo mtoto atakosa malezi ya baba na mama kama yeye ataamua kuhasi kambi.
Mara nyingine ukali huwa hautoi matokeo chanya. Unaweza kumkaripia na hata kumpiga lkn bado akawa na michepuko. Pia waweza kuta wewe ni chanzo cha tatizo, jitafakari kaka!
Unaweza kuwa unampa matunzo mwanamke na unamkaza vzr kama ukivyojinasibu lkn bado ukawa na matatizo mengine kibao ambapo kwa sbb ushajiamini kuwa umekamilika huwezi kukaa na kujitathimini ili ujue chanzo cha tatizo nini.
Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa lkn sababu ya mwanamke kuchepuka tusilazimishe kua labda ni ya mwanaume et kwa kua hakufanya hiki wala hakufanya kile NO. sababu ya mwanamke hasa huyu tunaemzungumzia kuchepuka,sababu ni yeye mwenyewe mwanamke,wala haihusiani na victim. Kama mwanamke anaona kunamapungufu njia nzuri ni kuzungumza na wala si kuchepuka. Kuchepuka ni tabia ya mtu tu.
Nashukuru kwa ulichosema. Ni kweli kusalitiwa kunauma sana. Wewe unaongea kama mwanamke. Hujui psyche ya mwanaume ikoje. Ex wife wangu ndiye asiyetaka kuongea na mimi. Mimi nilishamfuta, namchukulia kama mtu baki tu. By the way, watoto naishi nao na kutunza mwenyewe kama baba. Unaongea kwa hisia kali kana kwamba ulishachepuka na kukamatwa. It seems unaongea kwa experience. Mwanaume hafikirii kama mwanamke ukae ukijua. Wanawake huwa mnataka wanaume wafikirii na kutenda jinsi mnavyoona ninyi ndio maana mnakuwa frustrated. Asilimia 90% ya wanaume wananiunga mkono kwa hili. Kwa kweli kulala na mdogo wake na rafiki wa ex wife wangu ilikuwa ni kwa sababu ya hasira and i am not proud of it. Wanaume ni physical beings. Na vile vile tuna visasi, ndivyo tulivyo penda usipende. Time heals ila feelings hazirudigi. Kila ukikumbuka usaliti alioufanya mkeo hasira inarudi. Ndio maana ndoa baada ya usaliti huwa haziwi salama hasa mke akichepuka. Hata kama mkiendelea kuishi huwa ni maigizo.
Hakuna mwanaume bwege anayesamehe moja kwa moja ni uongo. Ex wife wangu nilimuacha afanye anachotaka kwa uhuru but akiwaangalia huyo mdogo wake na bestie ake hatakaa kusahau kuwa nimewakamua. Nilimheshimu kama mke yeye akaamua kuwa mnyama basi nikampa dosage ya unyama. Mwanamke hawezi shindana na mwanaume hata siku moja. Sasa yupo anatangatanga tu kama jendaeka. Ndugu zake wameitisha vikao mara kibao nakataa. Siku zote ndoa zikivunjika wanawake ndio wanaathirika zaidi. Kwa hili suala la mdau naweza kusema kwa uhakika wa asilimia 80% ingawa simfahamu ni kuwa mke wake ni mchepukaji mzoefu. Hawezi kuonywa halafu kesho akaenda kumvulia chupi jamaa. Kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo mke alikuwa anagongwa either na huyu jamaa au jamaa mwingine kabla. Tena bila uoga. Naheshimu mawazo yako lakini sikubaliani nayo. Huyu kaka yangu Mungu amemuonyesha ili achukue maamuzi. Tusihalalishe uzinzi kwa kusingizia alleged mapungufu ya kaka hapa. Kumvulia mwanaume mwingine chupi sio suluhu ya matatizo. Ona sasa imeongeza matatizo. Huyo mtoto atakuwa salama na kwa upendo tu. Siwezi fuga mke mala.ya eti kwa ajili ya malezi ya mtoto. Ni uhayawani uliokubuhu. Akimletea mume wake magonjwa nani atalea hao watoto? Tuache maisha ya sinema. Uasherati wa mke haukubaliki hata kwa misahafu.
😀😀 mimi wa kike mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mnajua kuna viboko vyenu me mjifunze ku care wake zenu
Sent using Jamii Forums mobile app