Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

brother mm nipo very strict na nimeshamwambia nikigundua umenusaliti ndio mwisho Wa ndoa!!labda nawe km unachepuka ila km huchepuki yy ndio kafanya hivyo no discussion goodbye tu!!siwezi kuvumilia usaliti huo



Hujawafahamu wanawake hata 56%!endelea kumtisha utaona majibu yake!mwanamke ukiwa unamtishatisha ndo unamtuma ndugu yangu!we mwambie tu madharaya kuchepuka basi endelea kujifanya afande sasa!mwakani utakuja hapa unalia lia
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
First thing first, Demu/Wife akishaanza kugawa haachi. Jiongeze.
 
Mkuu kuwaita wazazi kwa kosa la kwanza sioni kama ni sawa kwa mwanaume unae jielewa,pili atatakiwa aonyeshe ushaidi wa picha kwa wazazi ile ya utupu tatu hakuna wazazi watakao washauri muachane watawaambia sameheaneni kisha mtarudi chumbani nyie wawili na jua mkifika chumbani ni kama mtakuwa mnaanza maongezi upya ya kesi na utakuwa umemzalilisha mkeo na kumbuka ujinga wa mkeo ni wako pia
akae na mkewe kiume asitake kujifanya anamoyo wa kuumia sana haya mambo yapo tu apa duniani
Mashaka yangu wewe/Mimi kusema hivo hatujui kiasi gani kaumizwa na jambo hilo,
Nimetoa mchango tu nionavyo Mimi,lakin maamzi anayo yyy,na mvaya zaid waweza shangaa,hiyo et kukaa nae ndan wayamaliz,akajiletea kesi ya kuua,au kujichukulia sheria mkononi!

Hv ukisema kosa la kwanza,utategemea aj afanye kosa jingine lipi kama siyo ukimwi tayari?


Ni maoni ukweli na uamzi anao mhusika!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma huu uzi kwa makini nahisi kuumia sana utafikiri nimet.ombewa mimi...!
Ila sio siri siku nikajua kuwa mke wangu ameto.mbwa na lijamaa..!!!!! kudadadeck..!!!
Najua kuua ni kinyume cha sheria naweza kuishia jela, hivyo nikishindwa kumtwanga taraka pengine kwa kuhurumia watoto au labda kuna sababu flani ya kufanya nisimwache ok ila sintomsamehe mpaka nakufa bali ntaishi naye ila kuanzia siku hiyo (ntatembeza pira) ntagonga mademu mpaka atajuta kunifahamu!!! ntagonga house girl, na hata ndugu zake wa kike wakija hapo nyumbani nagonga, hata awe dadake,mamake mdogo hata mzazi akijipendekeza natwanga,
mademu wa karibu na hapo nyumbani,marafiki zake/wafanyakazi wenzake..yaani ataondoka mwenyewe tu..!!!
Ni heri kumuacha kuliko hiyo. Utajiteketeza bure na kuwaacha hao watoto ambao ingeweza kumuacha ukatafuta namna ya kuwalea vema. Yeye pia ataanza kugongwa na kila mtu. Kumbuka ili ugonge lazima utongoze na uonge yeye atatongozwa,atajitongozesha atagongwa daily halipii lodge utalia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu alivyo niambia tu kuwa nikweli kampa jamaa mzigo
Nilipoteza nguvu nikashindwa kufanya lolote... Nilihisi naweza kumuulia humo ndani
Nikaondoka home nisijue naenda wapi.. Kuja kupata uelewa nimesha fika kariakoo...
Nilikunywa pombe sana na sikurudi nyumbani mpka asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kufanya ivyo umepata nini kesi imeisha au?
bado ujagundua hakuna njia nyingine zaidi ya kuongea na mkeo tu ujue nini kimemsibu kisha umsamehe
Mengine yote utayo fanya nikupoteza muda nenda kaonge na mkeo kwa faida ya familia yako na mtoto wako
FILOSOFI YANGU HUWA NI "SIWEZI KUFA KWA PRESSURE KWA AJILI YA KUWAHURUMIA WATOTO, WATOTO WATAKUA TU KWA UWEZO WA MUNGU" NA UZURI ZAIDI MUNGU ATAKUWA PAMOJA NAMI.
Duh wewe mwenye akili hii ukija kuoa kwetu na kufukuza kama kuku maana hujielewi karne hii una amini huu ujinga
 
Kiongozi naona hili swali hujalitolea majibu.
Je wewe umewahi kuchepuka?kama ndio ulikuwa na sababu ya msingi?
Ukijibu hili,utatupa mwanga wa kujua cha kukushauri.
 
Duh, pole sana mkuu!

Ushauri wangu:
1.Endelea kumuomba Mungu km hii simulizi yako ni ya kweli.
2.Mkalishe chini mkeo but ongea nae taratibu na si kumpa kichapo ili akiri kwa nini anachepuka.Trust me, kichapo si suluhisho yakupasa utumie akili na busara ya baba mwenye nyumba (ambaye ndo ww sasa). Kumbuka kuna sababu nyingi zinazomsukuma mwanamke kuchepuka na sio kukazana tu.
3.At the same time fanya utafiti kimyakimya bila ya kumshirikisha mkeo kubaini chanzo cha yeye kushawishika kuchepuka. Hii ni pamoja na kuzitafakari kwa kina sms walizokuwa wakitumiana wagoni wako. Hii itakusaidia kupata picha halisi ya kile ambacho mkeo anakosa kutoka kwako.
4. Ukishapata uhakika na ukweli wa jambo hili, kaa kitako tena na mkeo kwa ajili ya kumkanya na kumueleza athari mtakazozipata kama familia pindi akiendelea kuchepuka. Mazungumzo yenu myafanyie nje ya nyumbani, yaweza kuwa hotelini, camp site ama sehemu yoyote yenye utulivu (kwa lugha nyepesi mtoe out). Kumbuka usitumie ukali ama ubabe.
5. Ukishamalizana na mkeo, mtafute mgoni wako kama utakuwa umeshambaini. Kaa nae na umweleze yote ambayo umeyabaini kuhusu yeye na mkeo, ushahidi wa sms ulizoskrinishoti n.k. (Hapa kifua kinahitajika wakati wa mazungumzo yenu). Mweleze pia aache kuchepuka na mkeo na athari anazoweza pata pindi akiendelea na ubazazi wake.

Mengine wataongezea wanajamvi.
 
hawa wanawake zetu muda mwingine ni kama mbuzi tu unatakiwa uchunge isile kwenye shamba la jirani
 
Pole sana,
Anza na huyo jamaa yake kwanza, lazima ajue kuwa kutembea na wake za watu sio sawa, Kama una Nyundo nenda nayo na kampige beat.Kuhusu Mke wako? amua mwenyewe, mke anaachwa kwa uzinzi, Kama huna amani chukua hatua, kama una amani msamehe na tafuta sababu kwanini amechepuka ili uweze kuepuka matatizo hapo baadaye, Toka enzi wanawake wanachepuka kwa sababu mbalimbali, ila huwezi kujua kwa kuwa wanafanya siri sana.Hawa watu ni wajanja sana, wanajificha kwenye weak point zetu. Kingine mfahamu mkeo, fahamu wakati gani anakuwa ametosheka kwenye sex na wakati gani anakuwa kapa, kwa miaka mitano uliyokaa naye utajua bila ya kumuuliza kama anatosheka au la!!!



nimekukubali hapokutafuta sababu LAZIMA IPO TU!Hukuti mke anatoka bila sabab
 
msamehe mkeo maisha yaendelee,
wala usikumbushie tena kilichotokea nyuma
mpende kama ndo mnaanza ,timiza wajibu wako
tena kama baba wa familia ,jitahidi usimkosee ,wahi kurudi nyumbani etc fanya kama hakijatokea kitu mkuu,HUO NDIO UANAMUME,
HIVYO TU
Ushauri wa HOVYO na pengine hujaoa na halijakutokea.
 
Usijidanganye unaweza kumridhisha mwanamke kama aliyewaumba wanamkosoa, yeye kawaumba na nyusi wao wananyoa na kuchora zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] pia hujui kuwa wanawake pia ni bidha? Hiyo biashara uliyomfungulia , pamoja na yeye ni bidhaa inayouza nyenzake[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Mimi MTU akinijiaga na case kama zako[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] . anyway ngoja nikushauri . usimuache kwa sababu wanawake waminifu hawako duniani wewe kaa nae mwambie jinsi unavyoumia! Mapenzi ya kweli duniani hayapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umevuna ulichopanda

Binadamu hafugwi wala hachungzwi

Mradi anakupa heshima yako... ilitosha
 
Pole mkuu kwa yalio jiri,ila hekima na busara inahitajika na pia ukiwa kama mwanamme nnaimani umehimili maumivu ya moyo mengi, wanawake ndio sisi na binadamu ndio sisi hakuna mkamilifu, kwanza jiulize je wewe tangu ulipokua nae ushawahi kumsaliti? umesema kua ni mwepesi kuomba msamaha pindi anapokose hata kama umekosa wewe yeye ndio anakuomba msamaha na naamini hii ndio mara yako ya kwanza kumkuta na kosa hili sisemi kua nirahisi ukimuona mpenzi wako ana Cheat ukafumba macho na kuanza upya utakua na maswali mengi yakumuliza kwanini amefanya alivyo fanya nini kilipungua,jee haridhiki na penzi lako au umeongeza few kgs huzungushi au hugongi kama mwanzo yote hayo na mengine mengi ila jibu litakua mume wangu nisamehe shetani alinipitia, nna hakika wewe ni muungwana na unataka ndoa yako iendelee,chakufanya muite mkeo kaanae chini muongee kabla hujaenda kokote akujibu kila unalotaka kumuliza,ila mwisho wa siku moyo wako ndio utaamua kama umeridhika au laaa,
kwa upande wangu ukitaka advice nadhani anastahili kupewa nafasi ya pili na huenda akabadilika,na wewe mume pia usisubiri kusifiwa kwamba uko vizuri kitandani kuna times hata mume hakufikishi ila unauliza vipi game yangu unaionaje haiwi sawa kumwambia sio yenyewe unasema uko vizuri mume wangu na hii ya leo imenitosha week2 staki tena kumbe walaa sema wanawake tumeumbiwa kuridhika,na kustahmili haimanishi ndio wewe mume kisa nimesema its enough for two weeks ndio unanipa mgongo,ebu jaribu tena uone kama sito ichekelea..
 
Mkuu.....
Nimejikuta naishiwa maneno na mdomo ukanibaki wazi.
Hivi kweli issue kama hii mwanaume unaanzaje kushindwa kuitatua...[emoji45] [emoji45]
Hili jambo mleta thread alitakiwa achague KUMSAMEHE ama KUACHANA NAE.
Hii hakupaswa kuileta humu na kuja kuuliza watu wamshauri kwenye maumivu wasio yapata.
 
Km ni hivi sawa! Fairness

Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi kumuacha bf kwa sababu alikusaliti?!


Mtu kuomba msamaha haimaanishi kuwa ndio uendelee nae unamsamehe lkn unamwambia mm siwezi kuwa naww jst like that.


Mm kuna watu tumeshaachana lkn tukikutana tunaongea fresh na hata akinitafuta kama ana shida naweza kusaidia,dunia ya leo usipokuwa na msimamo utaishi kwa tabu
 
Back
Top Bottom