king gabusyo
Member
- Jul 16, 2017
- 71
- 44
Hao hawaachani ng'o labda umtafute mume mwenzio umuonye tena mbele za watu wenye busara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiombe unaweza ukafa ume simamaBy the way nipe na mimi maujanja ya juhack account whatsapp whatsapp facebook
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa binadamu weweNimesoma huu uzi kwa makini nahisi kuumia sana utafikiri nimet.ombewa mimi...!
Ila sio siri siku nikajua kuwa mke wangu ameto.mbwa na lijamaa..!!!!! kudadadeck..!!!
Najua kuua ni kinyume cha sheria naweza kuishia jela, hivyo nikishindwa kumtwanga taraka pengine kwa kuhurumia watoto au labda kuna sababu flani ya kufanya nisimwache ok ila sintomsamehe mpaka nakufa bali ntaishi naye ila kuanzia siku hiyo (ntatembeza pira) ntagonga mademu mpaka atajuta kunifahamu!!! ntagonga house girl, na hata ndugu zake wa kike wakija hapo nyumbani nagonga, hata awe dadake,mamake mdogo hata mzazi akijipendekeza natwanga,
mademu wa karibu na hapo nyumbani,marafiki zake/wafanyakazi wenzake..yaani ataondoka mwenyewe tu..!!!
Hawa watu wanaogegeda wake za watu huwa wanajituma mpk wanahakikisha mwenye mke unaonekana fala. Pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona sasa mambo ya mahusiano yalivyo magumu? Msamehe mwenzio angalia ulipokosea hadi mwenzio akatamani vya nje...jirekebishe maisha yaende mbele.
Huwezi kuwa binadamu wewe
Nimeoa mwaka wa kumi sasaHakuna jambo la kimahusiano linalouma kama kut.ombewa mkeo, yaani inaumiza kuliko hata kifo. Hata tunapowat.omba wake za wenzetu sio kwamba hilo hatulijui, tunajua sana sema kuna mambo mengine inabidi yatokee tu ili maisha yaendelee. Oa ukutane na bahati mbaya ya aina hii utajuta kuoa
Duhh......[emoji47] [emoji47]
Huyo mwizi hana kosa mwenye kosa ni mwanamke?!!!Pole sana kwa majanga yaliyokusibu mkuu.
Ulifanya mistake siku ile uliyomuonya wife bila kuchukua hatua kwa huyo mwizi wako.
Ilibidi umchimbe mkwara kwanza yule mwizi naamini usingefika hatua uliyofokia.
Ila maji yameshamwagika kuyazoa ni vigumu sana kama adhabu umeshatoa na inatosha ,muhenga Rich Mavoko alishasemaga ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.
Naamini hata wewe huwa unachepuka ila wife hajakuotea tu kwenye 18 zake .
Ushauri wangu kwako ni samehe na sahau kwani issue ilishatokea.
Km ni hivi sawa! FairnessNdio maana yake maana nakuwa nmekiuka kiapo cha ndoa,issue ya kutoka nje ya ndoa haina msamaha kwangu hata kidogo
Hivyo vitabu vimeweka mlango wa kutokea (uzinzi) sasa ndo amefanya uzinzi anaweza kutoka sasaHadi utakapopata picha jamaa kapewa akudo ndipo utachukua maamuzi. Anyway mlifunga ndoa na kupewa kiapo kuwa msiachane hadi kifo kiwatenganishe kutoka vitabu vya wazungu na waarabu.
Mwanzo alikataa akadai bado hajalalanae ila baadae nilipo mbana vizuri ndio akakubali kuwa kasha lalanae.... Akalia sana kama kawaida yao na kuomba msamahaJe mkeo ulipomuuliza kuhusu kutembea na huyo jamaa alikubali na kuomba msamaha?
Je uliwahi kumuonya huyo jamaa anayetembea na mkeo?
Je mkeo anaonyesha kujutia hayo aliyoyafanya? Naomba majibu ya hayo maswali hata ukiweza njoo PM nikupe ushauri
Ndugu yangu hizo ndizo changamoto za ndoa na kusema ukweli kuchapiwa kunauma sana, Mwanamuziki Banana Zorro aliwahi kuimba kuwa maumivu ya mapenzi yanazidi hata msiba. Nashauri ili jambo umpelekee mzee yoyote ambaye ana uzoefu na maisha na ameishi kwenye ndoa miaka mingi anaweza kukupa ushauri mzuri sana kwani ameshapitia mengi. Tnajikaza tu kiume lakini haya mambo yanatokea kwenye ndoa nyingi sana sema wanaume uwa tunaumia na kuugulia kimya kimya bila kutangazia watu.
Muombe sana Mungu kipindi hiki ili akuvushe katika huu mtihani. Sikushauri kuachana labda mpaka utakaponijibu maswali ya msingi hapo juu. Kwa ufupi hiyo ya kuchapiwa ni moja ya changamoto za ndoa ingawa kuna changamoto nyingi kubwa Zaidi ya hiyo