babu ibrahim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 254
- 112
Hilo swali la nne unalomuuliza halina mantiki et hujawahi kuchepuka we serengeti boys nn unajuwa inavyouma subili likukute uone uchungu wakeMoja: Ni kweli uzinifu unatosha kabisa kuvunja ndoa.
Pili: ULIKOSEA SANA kuishia kumuonya wife pekee..ulipaswa uonye huyo jamaa na umtishe haswa hakika angemuogopa mkeo na mkeo asingeliwa.
Tatu:Kwenye kila maamuzi utakayofanya kumbuka MNA MTOTO na anawahitaji wazazi wake wote.
NNE: Mkuu hujawahi KUCHEPUKA nje ya ndoa yako!???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe unaona ni sawa Mwanume kumcheat mke wake na kutoka na malaya wa nje et kwa sababu anamhudumia!??? Hujui km na yy anaumia akiona unamsaliti!? Woye ni binadamu km ww ulichepuka siku ukisikia na yy amechepuka ujue amachoshwa na maumivu unayompa kwasababu hana moyo wa chuma(simaanishi kuchepuka ni solution)...Point ya msingi kila mtu atulie kwny ndoa yake na u wont see mtu akitoka nje unless awe na tamaa zake binafsi na kukosa maadili.Hilo swali la nne unalomuuliza halina mantiki et hujawahi kuchepuka we serengeti boys nn unajuwa inavyouma subili likukute uone uchungu wake
Kwani kipi kinaumiza
Mwanamke unamtunza akiumwa unatoa pesa ya matibabu unamlisha kila kitu gharama kwa vile unakaa nae anapaka vipodozi anapendeza harafu anajipiga picha na kurusha mtandaoni pesa zako hizo unazotoa jasho kuzitafuta sio zake
Kukaa na mwanamke ni gharama kubwa kuliko kukaa na malaya mnakutana geto mnamalizana hata akiumwa hakupigii simu lakini mkeo ni gharama ndio maana mwanaume inamuuma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
safiiiiiii, swali zuri sana hiliIf she was loyal kwa miaka 5 Ushajiuliza kwann sasa hivi amechepuka?
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe teheNa 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..
tehe tehe tehe na risiti wasisahauKama umewai kuchepuka kwenye ndoa msameheh,kama ujawai mrudishe kwao upewe mahari na riba juu.
Nitaiamkia kesho hii mada ila mkuu hajasema kam naye huwa ana cheat maana wanaume huanza nyie wakezenu walia weee na kulalamika mnawaona nyumbu mshaurini mwenzenu akimuacha huyo jamaa anaoa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda!akihongwa ahongwe!pia akiliwa akiwe sana tuu,but nisijue,nshamwambiaga na anajua hilo!wanawake wengi hawaridhikagi.UWI! ukute wewe humpi kitu lazima ahadaike !we chunguza utaja gundua wewe ndo chanzo
Labda!akihongwa ahongwe!pia akiliwa akiwe sana tuu,but nisijue,nshamwambiaga na anajua hilo!wanawake wengi hawaridhikagi.
Sent using Jamii Forums mobile app
HILO LA KURUDISHA HISIA HILO!si kweli mkuu!mie nadhan ni hulka au malezi ila ukisema wanawake weng haturidhiki nitabisha had aasbh!
siku nyingine semahv WANAWAKE NI WAVUMILIVU SANA ILA AKISHACHOKA HUWA MAJANGA! ndo mnakuja kusema haturidhiki! tunaridhika saaaaaana tu ila unajikuta unavumiliaga tu wewe miaka nenda rudi! ukichoka kurudisha hisia huwa ngumu
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..
Sent using Jamii Forums mobile app