MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
Sigombani Na demu kwa maneno
Ni kukukunja kitandani hadi uniitee
Haniii unaniumizaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ahhahaah unadhan kukojoza ni lelemama eh
Sigombani Na demu kwa maneno
Ni kukukunja kitandani hadi uniitee
Haniii unaniumizaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mkishaingia ndoani kitendo cha kukojozana kinaweza kuwa mlima mrefu kuliko kilimanjaro, sijui shida ni nini!!!ahhahaah unadhan kukojoza ni lelemama eh
This Is What We Call Personal Vendetta.Nimesoma huu uzi kwa makini nahisi kuumia sana utafikiri nimet.ombewa mimi...!
Ila sio siri siku nikajua kuwa mke wangu ameto.mbwa na lijamaa..!!!!! kudadadeck..!!!
Najua kuua ni kinyume cha sheria naweza kuishia jela, hivyo nikishindwa kumtwanga taraka pengine kwa kuhurumia watoto au labda kuna sababu flani ya kufanya nisimwache ok ila sintomsamehe mpaka nakufa bali ntaishi naye ila kuanzia siku hiyo (ntatembeza pira) ntagonga mademu mpaka atajuta kunifahamu!!! ntagonga house girl, na hata ndugu zake wa kike wakija hapo nyumbani nagonga, hata awe dadake,mamake mdogo hata mzazi akijipendekeza natwanga,
mademu wa karibu na hapo nyumbani,marafiki zake/wafanyakazi wenzake..yaani ataondoka mwenyewe tu..!!!
Pole sana! Hawa viumbe ni dhaifu from origin of the biblia na kama wameshakutana sio rahisi kuachana isipokuwa wataendeleakubadilisha mbinu tu! Fanya hivi wakutanishe ndugu wa pande zote wawepo wamama na wabibi wamkanye halafu toa onyo LA mwisho pia endelea kuratibu simu zake itasaidia kupunguza kasi na jamaa yake huyo!Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu huwa wanalowanisha godoroahhahaah unadhan kukojoza ni lelemama eh
Umeoma njisi gani mlivyowapumbavu eee nyie ni wakuchingwa sana mkiachwa mnakula hata kisicholiwaMke wa mtu unaanzaje tuma pics za utupu kwa mtu..
Anamuamin sana aa eeeh..zikirushwa mitandaoni atamlaum nani...
Wanawake tuache kuwa matahira sometyms..kupenda gn huko
Jf bana! Huo uliouandika ndiyo ushauri ambao kaomba mwenzako?
Haya mambo yasikie kwa jirani tuu,aAah aisee inauma sana unaweza kwenda jela ivi ivi..haya mambo hayana ushauri unaeza ukamfukuza mkeo mwanao akapata tabu zaidi..
Huyo mke kabila gani?Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba usikie kwa jiraniDuuh Pole sana Mkuu.
Jitahidi kujikaza kama mwanaume najua ni ngumu ila hizo ndo changamoto za maisha ya ndoa,Kaza Moyo!
Mi nakushauri kabla hujachukua maamuzi yoyote ya ghafla tumia busara kwanza, na fanya haya:
1.Jaribu kuongea na Mkeo kwa utaratibu ujue ni sababu gani iliyomfanya akachepuka,hicho ndo cha msingi kuliko vyote (ana sababu zake) ukijua itakusaidia kujua mapungufu yako ili ujirekebishe.
2.Punguza hasira na usiendelee kumpiga (unaweza muua kwa hasira ikawa ishu nyingine)
3.Jaribu kudeal na hii ishu we mwenyewe kama mwanaume usipeleke kwa wazazi sababu ndo kwanza kosa lake la kwanza.
4.Jiulize haya maswali/fanya uchunguzi, Je bado unampenda?Je ni kweli ametubu na kujutia alichofanya?Je bdo anakuheshimu na kukuonesha upendo kama ilivyokuwa mwanzo?Je wewe hujawahi kuchepuka?Je Mtoto wako ataishi vipi mkiachana na Je is it worth it kuachana (kwa mtizamo wako ww, ukipima mzani wa mazuri na mabaya)
Naamini ukipata majibu ya hayo maswali nilioyaandika hapo juu utakuwa kwenye hali nzuri ya kuweza kutoa maamuzi unayoona sahihi kwako.
Ila kwa ulivyo mwelezea mkeo ingekuwa ni mimi ningemsamehe (japo sio rahisi) na kumpa LAST WARNING.
Note: Kama ukiamua kumsamehe fanya haya,Mwambie akirudia tena atakuwa amejitafutia talaka ye mwenyewe,ongeza upendo kwake,usiweke kinyongo,jirekebishe makosa yako,(kuwa mume bora kiufupi) ukifanya hayo atakuthamini kwani nahisi bado anakupenda sema alikosea tu, binadamu hatujakamilika.
Ni hayo tu Mkuu..
Mi nakwambia hivi akili ya mwanamke ni ndogo yeye hufikiri karibu hawezi fikiri mbali na hawezi kutengeneza mtego wewe usijue lakini wewe unamtrack kila kitu kinakuja kwako bila yeye kujua hata kama ni msomi wa chuo gani hawezi kukushinda ndio maana hata wastani wa ufaulu umepunguzwa kwaohakuna mtu mwenye akili zafasta kama mwanamk mkuu!bora useme ww!somtime u let it go !mwanamke popote pale anaweza ingia lakin sio men
Wanabodi..