Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Kwahiyo kwa uelewa wako ni kwamba sababu pekee ya mwanamke kutoka nje ya ndoa ni kutoridhishwa tu?

Wengine wanacheat kwasababu wana asili ya umalaya, wengine ni kwa kuponzwa na marafiki/mashoga zao, wengine ni kwa kuwakomoa waume zao kwasababu ya maudhi flani katika ndoa yao au kulipiza kisasi kama aliwahi kusalitiwa.


basi nahii ni sababu mojawapo pia! ww uliitoa kbs
 
Nilivyosipendi karaha, nilivyosipendi kuishi na yeyote anayeonesha dharau kwangu ,hilo suala kwang nampa discontinuation directly without concerning wazazi na walezi, kama tatizo ni Mali tutagawana then maisha yaendelee, halafu kuhusu future ya mtoto baba ndo mwenye mamlaka so hata tukiachana mim as dad ntaweka mkakati mtoto anasomaje, halafu kingine kwa ambao hamjaoa ukioa mshirikishe mkeo baadh ya vitega uchumi mlivyonavyo but kuwa na secret economic projects ambazo kwa vyovyote vile mkeo hana access ya kuzjua hii itakusaidia sana, unaeza ukawa na fixed bank accounts hata tano bila kumshirikisha mwanamke, so mkiachana mtagawana Mali anazoziona tu, hizo zngne ztabak kwako hii itakuwa courageous ya Ku handle familia kusomesha watoto peke yako, na biashara zako zitaendelea kama kawa,....mim nataka kukuza jina la ukoo wang kupitia kampuni ya biashara so mambo kama hayo huwa yanarudisha nyuma maendeleo badala uwaze jns gan utasogea mbele kiuchumi unakuwa mlinzi wa mkeo,.."DO everything but never trust a WOMAN"

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wenzetu walioendelea kuna prenuptial agreement ikitokea ndoa imevunjika
 
Piga chini faster huyo malaya. Utakuja kuugua ukimwi bura. Maisha yako ni yako iwapo mkeo hakubaliani ya maisha yako. Usipoteze muda wako.
 
Mwache huyo kahaba haraka sana kabla hajakuambukiza magonjwa ya ngono!!
 
MWANAMKE WA NDOA AKISHAFANYA UZINZI NA ASIYE MUME WAKE ANAPASWA KUACHWA TU.

IMERUHUSIWA HILO HATA KATIKA BIBLIA

KUENDELEA KUISHI NAYE SIO GUARANTEE KUWA HATOGONGWA TENA.
 
MWANAMKE WA NDOA AKISHAFANYA UZINZI NA ASIYE MUME WAKE ANAPASWA KUACHWA TU.

IMERUHUSIWA HILO HATA KATIKA BIBLIA

KUENDELEA KUISHI NAYE SIO GUARANTEE KUWA HATOGONGWA TENA.


na mwanaume je?>
 
Pole sana kaka najua hakuna kitu kinauma kama mapenzi alafu istoshe mke anauma sana ila hamna jinsi chamsingi usikae kimya washilikishe ndugu zako na ndugu zake myaongee naamini atabadirika ila ukikaa kimumya hyo hali itaendelea pia muombe mungu atakusaidia mkeo kubadirika ili mumlee mtoto wenu pamoja, kwenye vitabu vya mungu wameandka kwamba MWanamke nikiumbe dhaifu tuishi nao kwa akili. Kwahyo kaka zngatia ushauri wangu mungu atatia Baraka zake

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
 
na mwanaume je?>
Hata Mwanaume akitoka nje ya ndoa wewe mwanamke (Mke) unaweza kuamua kumuacha...!

ILA, unaweza kunionesha mstari wowote katika Biblia inayoamuru Mwanaume (Mume) mzinzi kuachwa?

Karibu,
 
Hata Mwanaume akitoka nje ya ndoa wewe mwanamke (Mke) unaweza kuamua kumuacha...!

ILA, unaweza kunionesha mstari wowote katika Biblia inayoamuru Mwanaume (Mume) mzinzi kuachwa?

Karibu,


sina ujuzi na maandiko!maandiko meng yanamlalia sana mwanamke! sana sana!
 
basi nahii ni sababu mojawapo pia! ww uliitoa kbs
Unaposema niliitoa kabisa sababu hii sio kweli.

Nilisema hivii

"Mwanamke hatoki nje ya Ndoa kwasababu ya kutoridhishwa tu"

Maana yake ni kwamba hiyo ya kutoridhishwa ni sababu mojawapo ila pia zipo nyingine lukuki.
 
si kweli mkuu!mie nadhan ni hulka au malezi ila ukisema wanawake weng haturidhiki nitabisha had aasbh!

siku nyingine semahv WANAWAKE NI WAVUMILIVU SANA ILA AKISHACHOKA HUWA MAJANGA! ndo mnakuja kusema haturidhiki! tunaridhika saaaaaana tu ila unajikuta unavumiliaga tu wewe miaka nenda rudi! ukichoka kurudisha hisia huwa ngumu
[emoji1] sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is sooooooooooooooooo right, kuwaacha Wazee, tu deal na matatizo yetu. Kama jamaa anataka muacha, alale mbele kimya kimya, sio kumuaibisha mke wake, au kusumbua wazazi, na kama anataka kukaa naye, apige kimya, Kuja jamii iwe imetosha, MI ANAUME HUWA MIJINGA, ATAJIAIBISHA WEEEEEE THEN ATAENDELEA KUISHIA NAYE, THEN WATU WAKIMSEMA ANALALAMIKA!
yes!
tunawasumbua sana wazazi na haya makitu!
basi tu!
 
sina ujuzi na maandiko!maandiko meng yanamlalia sana mwanamke! sana sana!
Sio kweli,

Maandiko ukiyasoma na kuyaishi wewe Mke na pia Mume naye akafanya hivyo...Ndoa itakuwa Mujarab.


Wabillah Tawfiq,
 
Hii tabia ya kufatilia cm za wake zetu tuacheni jamani italeta vifo visivotarajiwa
Cha kufanya piga chini uyo mwanamke utapata tabu km miezi 2 mpaka 3 mpaka kuja kumsahau uyo mkewo
Pia mtoto ataishi vizuli tu km utamjali usitishike na mtoto angalia afya yako pia kuna uwezekano wa kulea watoto c wako na wakaja kurithi Mali c haki zao piga chini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom