Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Mkuu alivyo niambia tu kuwa nikweli kampa jamaa mzigo
Nilipoteza nguvu nikashindwa kufanya lolote... Nilihisi naweza kumuulia humo ndani
Nikaondoka home nisijue naenda wapi.. Kuja kupata uelewa nimesha fika kariakoo...
Nilikunywa pombe sana na sikurudi nyumbani mpka asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app



maskini pole sana
 
pole sana mkuu! naomba nisimame upande wa mkeo ingawa unaweza usinielewe kwasasa! hongera kwakuwa na mke ulie mwamini!jaman mie kila siku naongea kama mkeo nyuma alikua mwaminifu ukaja jua anachepuka sasa! yaan huwa kuna sababu nyuma yake(ingawa wengn huwa wanafake akikaa sawa anarud alipotoka )mie nadhan kuna visababishi vimempelekea kukucheat,amini hili!muweke mkeo karibu acha jazba muulize kwa upendo kbs hakika atakuambia!hakikisha unamwangalia sana usoni!ukiona hakupi majibu murua jua huyu ashahamisha hisia kwa huyo men!


Ila tuseme ukweli wanaume wngi Mnajisahau sana nini kumtimizia mahitaj yakeyote 90%! mwingne anajihis amekuwa LONELY!aic usisikie UPWEKE unaweza kukuua!mtext kilamara mkeo,mpigie simu!mfanyie visuprise vya hapa napale ikiwemo( besdei tu yu yake! walah huyo akikucheat ni kunguru asofugika! alafu weng sana wanashindwa kukuambia km unamboa kitandani so usijisifu sanaaaa kuwa upo poa pande hizo!

mbaya zaid mara nyingi mwanamke akishachepuka tu huwa ngumu sana kurudi ndan90%!labda uombee Mungu atibuan na mchepuko wake huko nje la sivyo utasumbuka!(binafs sishauri wanwake kuchepuka maana huwa tuna hisia za ajabu tunashindwa kucontrol hisia zetu) usimpige tena mkeo ulichompa kisago kimetosha!usije UA bure!

POLE SANA MKUU
 
Uwe na uhakika kuwa mkeo anapigwa nje halafu uje kuomba ushauri eti watoto watakuwa katika maisha magumu!! Je mkeo akifa au wewe ukifa watoto wataishi vipi? Nashkru mungu nilizoea kupiga chini warembo nikiwa bado sijaoa. Bora upeleke watoto kwenye vituo vya kulelea lkn sio ubushoke kama huu. Wanaume tuna hustle sana kuwatunza hawa watu. Naweza kukuvumilia tabia zote lkn sio hii. NB:Fukuza watoto peleka kwa bibi yao au Shangazi yao then peleka huduma za kutosha huko waliko na tafuta mwingine slowly
Hivi mnaona raha sana kupeleka watoto wakalelewe kwa bibi na baby na wewe upon comfortable unasema unapeleka mahitaji ya kutosha tote hiyo ni kwa sababu ya ugomvi wenu?

Hi safari ni ndefu sana.
 
Kaza moyo Massawe, Mnamaa ndio dunia hiii! Nenda mkapime HIV kwanza kisha mengine yafuate. Moja mpe nafasi achague kuishi kwa uaminifu, kwa heshima na wewe, Au akaishi na huru afaidi ujana au aende kwa huyo jamaa.
2. Akiomba kuishi na wewe, mpigie simu huyo jamaa muuluze kwanini anakuvurugia familia yako? Ana mpango gani na maisha ya mtoto wako? Muulize amekudharau yeye ndio kidume sana wa kuchukua wake za watu? Mwisho usijaribu kumtishia jamaa kwamba lazima umfanye kitu mbaya, anaweza kudhuriwa na mtu mwingine ukafungwa wewe.
Zingatia kutowaambia ndugu zako wala majirani au rafiki zako juu ya mambo fedhea na aibu aliyotenda mkeo. Unachopaswa kufanya ni kwenda kumshitaki kwa ndugu zake.
 
Kuna sababu nyingi sana za kumfanya mwanamke achepuke mkuu. Sio kukazana kisawasawa kunako 6X6 ndiyo kumfanye asitamani kuchepuka. So jaribu kujiangalia wapi hasa unakosea. Anza na kujichunguza vitu vichache kama care, upole, humfanyi awe mpweke (hapa namaanisha wewe kutumia muda wako mwingi kwake na mtoto wenu, sio unachelewa kurudi kila kukicha out na washkaji e.t.c). Ni mambo mengi sana mkuu, jaribu hata ku'google itakusaidia pia.

Hasta la Vista!


haya ndo maudhaifuya wanaume weng
 
If she was loyal kwa miaka 5 Ushajiuliza kwann sasa hivi amechepuka?
Yeye anasema mkewe alikua loyal kipindi chote hicho cha miaka mitano labda kwasababu hakutataka kumchunguza,may be angesema amchunguze,yawezekana usaliti anauendeleza siokwamba ndiyo ameanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha ameteleza..aise ...anamfunulia mwanaume mwengine uchi wake na sio mumewe halafu unasema ameteleza

What goes around always comes around
Kuna kukosea ndugu yangu, akisema aachane nae, akienda kwingine akachitiwa ataacha wangapi?

Ndio maana nkasema akae kitako aongee nae, mtu anayejutia kosa anaonekana, mtu ambaye yupo tayari kwa lolote anaonekana pia

Yeye mwenyewe amesema; wamefanya mengi pamoja na he admires upiganaji wake. . Kwa nn utupe vyote kwa ajili ya one incident? Ila ikijiridia unatambua kuwa kuna tatizo mahali
 
Daa huyo mwanamke hana woga aisee, hata kama walishapanga appointment lakini ulivomkanya 1 day before ange hold on kidogo siku zipite usahau, sasa yeye kakomelea msumari masaa machache tu afterwards . Sijaoa bado lakini imewahi kunitokea kwenye mahusiano kwa kweli inauma, mimi huyo ningemsamehe bila kulipa kisasi halafu tungetengana maana anakuwa amenikosea heshma sana pia mtu msiri wa namna hiyo ni hatari, ana kila strategy za kuficha evidence, em fikiria umehangaika hadi ku hack account ndio umepata hivo vitu lakini yeye alikuwa anakana, unajuaje kama ni huyo mmoja tu, unajuaje kama ni mara moja tu amechepuka? .
Jipe muda tafakari lazma kuna chanzo cha tatizo japo unaweza kuwa hujaweka wazi hapa, chukua hatua kabla hujaendelea kujuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye anasema mkewe alikua loyal kipindi chote hicho cha miaka mitano labda kwasababu hakutataka kumchunguza,may be angesema amchunguze,yawezekana usaliti anauendeleza siokwamba ndiyo ameanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu ni kwann amesalitiwa amejiuliza hicho kitu?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mchepuko na mke....kumsamehe mchepuko ni kitu rahisi mke ni ngumu sana....huyo mwanamke hutoweza kuamuaminii tena mpaka unaingia kaburini cha msingi mpe uhuru wake aendelee na mtu wake kabla hajakuletea UKIMWI au kukupa magonjwa ya moyo....Mwanamke mpaka akitembea nje ujue kuna mapungufu ameyaona kwako na anajua huwezi kuyatatua ukimuuliza atakwambia shetani kanipitia kumbe shetani hausikii na chochote cha msingi mpe uhuru wake komaa na mtoto wako apate elimu nzuri basi mambo mengine yatakuja kukaa sawa hapo baadae haina haja kuitesa nafsi yako bure kwa mambo ya kipuuzi ambayo hayana majibu rahisi.....mpe talaka asepe.
 
Hili jambo siku hizi ni ngumu epukika wanandoa wasio chepuka ni wachache sana najua hapa wadau tutapungana hila hiyo ndio hali halisi haswa maofisi wamama wanachukua vijana na wazee kwa vibinti.

Halafu ukuiona hadi kasahau futa msg ujue hiyo ndio tabia yake mkuu. Kwa sababu wanapoanza huwa waoga hakishapata uzoefu anajua huwezi shtukia . Pole sana hila ndio jamii ya Leo ni ngumu sana kumpata hasie chepuka . Vijana wanasema wake za watu sio wasumbufu
 
Mkuu, pengine hilo nalo ni jaribu, yakupasa ulishinde, pengine ndo njia shetani anataka kuitumia kukufarakanisha na familia. Lkn nikuulize! Hujawahi kuchepuka? Kama jibu ni ndio, basi samehe, hata kama hujawahi, pia samehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kukosea ndugu yangu, akisema aachane nae, akienda kwingine akachitiwa ataacha wangapi?

Ndio maana nkasema akae kitako aongee nae, mtu anayejutia kosa anaonekana, mtu ambaye yupo tayari kwa lolote anaonekana pia

Yeye mwenyewe amesema; wamefanya mengi pamoja na he admires upiganaji wake. . Kwa nn utupe vyote kwa ajili ya one incident? Ila ikijiridia unatambua kuwa kuna tatizo mahali
Hapana ..soma comment ya mdau lion cub hapa chini uelewe huyo ni mwanamke wa aina gani..
Ni silent killer. Hapo hamna cha machozi wala nini.. ni uongo tu..unakanywa leo ..kesho unaenda kufanya... like seriously ...hell no.
Daa huyo mwanamke hana woga aisee, hata kama walishapanga appointment lakini ulivomkanya 1 day before ange hold on kidogo siku zipite usahau, sasa yeye kakomelea msumari masaa machache tu afterwards . Sijaoa bado lakini imewahi kunitokea kwenye mahusiano kwa kweli inauma, mimi huyo ningemsamehe bila kulipa kisasi halafu tungetengana maana anakuwa amenikosea heshma sana pia mtu msiri wa namna hiyo ni hatari, ana kila strategy za kuficha evidence, em fikiria umehangaika hadi ku hack account ndio umepata hivo vitu lakini yeye alikuwa anakana, unajuaje kama ni huyo mmoja tu, unajuaje kama ni mara moja tu amechepuka? .
Jipe muda tafakari lazma kuna chanzo cha tatizo japo unaweza kuwa hujaweka wazi hapa, chukua hatua kabla hujaendelea kujuta.

Sent using Jamii Forums mobile app


What goes around always comes around
 
Pole sana mkuu ,huyo sio mke muache haraka kabla hajakutia stroke akaharibu maisha yako
 
Daa huyo mwanamke hana woga aisee, hata kama walishapanga appointment lakini ulivomkanya 1 day before ange hold on kidogo siku zipite usahau, sasa yeye kakomelea msumari masaa machache tu afterwards . Sijaoa bado lakini imewahi kunitokea kwenye mahusiano kwa kweli inauma, mimi huyo ningemsamehe bila kulipa kisasi halafu tungetengana maana anakuwa amenikosea heshma sana pia mtu msiri wa namna hiyo ni hatari, ana kila strategy za kuficha evidence, em fikiria umehangaika hadi ku hack account ndio umepata hivo vitu lakini yeye alikuwa anakana, unajuaje kama ni huyo mmoja tu, unajuaje kama ni mara moja tu amechepuka? .
Jipe muda tafakari lazma kuna chanzo cha tatizo japo unaweza kuwa hujaweka wazi hapa, chukua hatua kabla hujaendelea kujuta.

Sent using Jamii Forums mobile app



baadhi yawanawake ni mavampire mkuu
 
Maandiko yanasema vitakavyo watenganisha na mkeo au mmeo ni kifo,uchawi na zinaa.ss hapo kwenye zinaa jifikirie mkuu wangu!..kwa mie ni kufanya maamuz ya kiume mrudishe kwao mazima!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom