Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

KUHUSU PICHA ZA UTUPU!
HUYO ANABAKI KUWA MAMA WA MWANAO NA MKEO WA NDOA!

MTAFUTE JAMAA!
MPELKE POLISI
MLAZIMISHE AFUTE PICHA NA MCHUKULIE RB KUWA POPOTE ZITAKAPOONEKANA ATAKUWA RESPONSIBLE!

HII HAINA COMPROMISE!
IWE UNAMUACHA MKEO KWA KOSA HILI
AU UWE UNAENDELEA NAE!
JAMAA AKIAMUA KUZITUMIA ZITAKUJERUHI NA WEWE NA MTOTO NA WAZAZI WENU!

DO SOMETHING ABOUT IT!
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani huyo mke wako katuma picha na sura za uchi? hivi hawa wanawake akili zao zipo wapi?
 
TENA USIJILAUMU KWAMBA UNGEBADILISHA NINI AU UBADILISHE NINI, UTAJIPA PRESHA, HAYA TUSEME KWELI KATEMBEA NAYE, PICHA KATUMA ZA NINI SASA? HAWANA MAANA HAWA, KAMA NI MIMI NA MTOTO MMOJA NALALA MBELE BWANA ... IMETOSHA KABISA ....
 
AS FOR WAZAZI KUSHIRIKISHWA HILI!
HEBU WATU MJIFUNZE KUWAPUMZISHA HAWA WAZEE !
HAMJUI INAUMA KIASI GANI KWA MZAZI KUSHUHUDIA HAYA!

WANANDOA JIFUNZENI KUDEAL NA ISSUE ZENU!
WAZAZI MNAWAONGEZEA SPIDI ZA VYUKARI TU KUPANDA NA KUSHUKA!

WANAUMIA SANA!
hebu magine leo uone utupu wa binti yako,ATI NI USHAHIDI KWA USALITI KWA MUMEWE!

heeey LETS GROW UP!
maisha HAYANA FORMULA SAAAAANA KUWA LAZIMA YAWE VILE TUNAVYOTAMANI YAWE!

LIFE FUCKS SOMETIMES!
 
This is sooooooooooooooooo right, kuwaacha Wazee, tu deal na matatizo yetu. Kama jamaa anataka muacha, alale mbele kimya kimya, sio kumuaibisha mke wake, au kusumbua wazazi, na kama anataka kukaa naye, apige kimya, Kuja jamii iwe imetosha, MI ANAUME HUWA MIJINGA, ATAJIAIBISHA WEEEEEE THEN ATAENDELEA KUISHIA NAYE, THEN WATU WAKIMSEMA ANALALAMIKA!
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Massawe wewe si Mwanaume ndugu yangu?

Cha kufanya ni kumwacha huyo mwanamke na kutafuta namna ya kumlea mtoto wako.

Wewe rudiana naye ukifikiri eti ataacha huo uzinzi.

Umeshapata ushahidi na hata Biblia inaruhusu kumwacha mke wa ndoa kwa Uzinzi wenye ushahidi.

Usipomwacha utakuja kujuta zaidi ya hapa.

Wabillah Tawfiq,
 
MNAONGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEAAA!
KAMA VILE HUWA HAMKAZI WAKE ZA WENZENU NA HUWA HAMSALITI WAKE ZENU!

WE BANA!
SAMEHE ENDELEA NA MAISHA!
JIULIZE TU KATIKA MAISHA YENU HUJAWAHI MKOSEA MKEO?
ALIJUA ?
ALIKUACHA?
ALIKUSAMEHE?
ULIOMBA MSAMAHA?
ULIACHANA NA HUYO MWANAMKE ULIYEKUWA UNAMSALITI NAE?
ULIDHAMIRIA KUACHA?
MKEO NAE NI MWANADAMU!
HAKUNA MWANADAMU ALIYE MKAMILIFU!
HAKUNA BINADAMU ASIYEKOSEA!

WE ALL DESERVE A SECOND CHANCES!
WE ALL DO MISTAKES!
KINYUME NA HAPO TOA MAHARI KWA SIR GOD UCHUMBIE MALAIKA!

hahahhahahahahha umemaliza! tufunge tu mada
 
Haina makombo jamaa. Na wewe endelea kumkaza kama unavyojisifu. Hiv ulifikiri mke wako akwambie humridhishi?
Mwanamke hamsaliti mume wake kwasababu ya kutoridhishwa tu.

Kama huyu ni tabia yake tu ya ukahaba.
 
Wanabodi,

Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission.

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha pili sio mvivu ni mchapa kazi. Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa. Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake.

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na SMS za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa.

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae.

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi.

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack WhatsApp ya wife kwa kutumia whatsapp web.

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi.

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta.

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya.

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli. Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji. Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo.

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa. Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje.

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha.

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa JamiiForums nimeona ndio kimbilio langu pekee.

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza.

Naombeni ushauri na sio matusi

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najuaje nini?

umesema hakuna mwanamke anayecheat kisa haridhishwi! nikakuambia km ww ni men unajuaje!!!!!!!! hebu kaa uongee na mwanamke yyt aliewahi kutoka nje akupe sabab kwann alitoka!!
 
Nilivyosipendi karaha, nilivyosipendi kuishi na yeyote anayeonesha dharau kwangu ,hilo suala kwang nampa discontinuation directly without concerning wazazi na walezi, kama tatizo ni Mali tutagawana then maisha yaendelee, halafu kuhusu future ya mtoto baba ndo mwenye mamlaka so hata tukiachana mim as dad ntaweka mkakati mtoto anasomaje, halafu kingine kwa ambao hamjaoa ukioa mshirikishe mkeo baadh ya vitega uchumi mlivyonavyo but kuwa na secret economic projects ambazo kwa vyovyote vile mkeo hana access ya kuzjua hii itakusaidia sana, unaeza ukawa na fixed bank accounts hata tano bila kumshirikisha mwanamke, so mkiachana mtagawana Mali anazoziona tu, hizo zngne ztabak kwako hii itakuwa courageous ya Ku handle familia kusomesha watoto peke yako, na biashara zako zitaendelea kama kawa,....mim nataka kukuza jina la ukoo wang kupitia kampuni ya biashara so mambo kama hayo huwa yanarudisha nyuma maendeleo badala uwaze jns gan utasogea mbele kiuchumi unakuwa mlinzi wa mkeo,.."DO everything but never trust a WOMAN"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndio mawazo ya wanawake wapumbavu kama wewe sisi ndio wanaume tunaooa sio wewe mwanamke

Mwanamume yeyote hawezi kumwoa mwanamke aliyemwachisha ndoa never maana na yeye Hugo aliyemwoa atakuja kukimbiwa na Huyo mwanamke

Na ukiona linatokea jambo hill basi Elewa mwanamume Huyo hayajui mambo ya ndoa tofauti na hapo ni kwamba kama mwanamke kaolewa akiachwa basi na Hugo mwanamume atavunja kabisa mahusiano

Maana na yeye yatakuja kumtokea kama yaliomtokea mwanaume mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mimi ni me,na nakuambia usipomuacha utapata shida sana ataendelea kugongwa tu,sasa kama unayajua hayo yote unataka ushauri gan tena?nikuambie uendelee naye na amekusaliti?Haya samahani endelea Naye mkuu usimuache
 
umesema hakuna mwanamke anayecheat kisa haridhishwi! nikakuambia km ww ni men unajuaje!!!!!!!! hebu kaa uongee na mwanamke yyt aliewahi kutoka nje akupe sabab kwann alitoka!!
Kwahiyo kwa uelewa wako ni kwamba sababu pekee ya mwanamke kutoka nje ya ndoa ni kutoridhishwa tu?

Wengine wanacheat kwasababu wana asili ya umalaya, wengine ni kwa kuponzwa na marafiki/mashoga zao, wengine ni kwa kuwakomoa waume zao kwasababu ya maudhi flani katika ndoa yao au kulipiza kisasi kama aliwahi kusalitiwa.
 
Nilivyosipendi karaha, nilivyosipendi kuishi na yeyote anayeonesha dharau kwangu ,hilo suala kwang nampa discontinuation directly without concerning wazazi na walezi, kama tatizo ni Mali tutagawana then maisha yaendelee, halafu kuhusu future ya mtoto baba ndo mwenye mamlaka so hata tukiachana mim as dad ntaweka mkakati mtoto anasomaje, halafu kingine kwa ambao hamjaoa ukioa mshirikishe mkeo baadh ya vitega uchumi mlivyonavyo but kuwa na secret economic projects ambazo kwa vyovyote vile mkeo hana access ya kuzjua hii itakusaidia sana, unaeza ukawa na fixed bank accounts hata tano bila kumshirikisha mwanamke, so mkiachana mtagawana Mali anazoziona tu, hizo zngne ztabak kwako hii itakuwa courageous ya Ku handle familia kusomesha watoto peke yako, na biashara zako zitaendelea kama kawa,....mim nataka kukuza jina la ukoo wang kupitia kampuni ya biashara so mambo kama hayo huwa yanarudisha nyuma maendeleo badala uwaze jns gan utasogea mbele kiuchumi unakuwa mlinzi wa mkeo,.."DO everything but never trust a WOMAN"

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom