Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Napicha af muulize anataka nn kwa mkeo na mkeo muuliz anamtaka nani saa zingin ww hakupendi ila hana namna
 
Aiseee pole sana mkuu. Huwa tunaambiwa sisi ndiyo wasaliti wakuu. But hii kitu nilikuwa nikipinga kwa nguvu zangu zote. Mwanamke hata hukimpa nin akiamua kukusaliti atakusaliti tuu. Chamsingi msamehe mkeo jifanye mjinga ili uweze sahau hayo. Although ni ngumu kusahau kwa haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua sahiv.. upo kwenye ka'hali flan hivii... ambacho hta ukiambiwa ukaelezee.. unaweza ukajaza madaftar hta kumi na watu wasikuelewe... hali hyo kikwetu tunaita "enkingongo"

Ukitaka kutoka salama kwenye enkingongo bila kufanya uharibifu wa aina yoyote iwe wa mali au roho ya mtu, inakuhtaji u' relax na uamin kuna kitu ulikuwa unaepusha nacho... yaweza kuwa ni maradhi ndomana umeifaham kweli kuwa mke wako anakusaliti.

Ukishajua hilo sasa, mwambie huyo mkeo wa zaman aende kwao na humuitaji kwa sasa, akitaka kwenda na watoto.. muache aende nao, hlf huku nyumban kanunue daftar dogo uandae ratiba ya watu ambao utawatembelea kwa kipind cha mwez mzima, kila unapotoka kazini unaenda kwa rafik au ndugu unaenda kumsalimia ukirud zako nyumban upo hoii.. unazama zako kulala tuu, lengo ni kuwa bize na kutokupata nafas ya kufikiria kabisa hlo jambo.

Kinachofata hapo ni kuachia nature ifanye maamuzi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana but ulifanya kosa kubwa kumchunguza..I know of many married men and women who cheat on their spouses but still adore them..ni tamaa tu za mwili alitaka kuonja something different ...by the way ni mtu mzima huwezi kumchunga but adhabu yake labda utoke hapo nyumbani uende sehem ya mbali kidogo kwa muda Kadha hope that may help kuliko kukurupuka na kujutia badae ila mwache usimchunguze...na wewe ukiona kama vipi tafta side chick tupo wa kukusaidia ( hahaha kidding) but inaweza kukusaidia na wewe mkaze mwingne kimyakimya hivyohivyo cuz anaweza Kuact kaacha kumbe ndo kwanza anakoleza maybe jamaa yuko vzuri zaidi yako na anamfurahisha sana..Inauma unamkaza mkeo and she may be is faking orgasms na unajua kabsa kuna jamaa mwingne anapita hapohapo..Mwanamke ukimridhisha on bed sijui huko nje atakua anatafta nini cuz umeshasema unamtunza vzuri

Kingne...threaten her with a divorce labda she will fight for her marriage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hekima inahitajika sana hapo, otherwise hiyo ndoa yaweza kuota mbawa very soon.

Pole sana mkuu, that hurts so much!!
 
Najua sahiv.. upo kwenye ka'hali flan hivii... ambacho hta ukiambiwa ukaelezee.. unaweza ukajaza madaftar hta kumi na watu wasikuelewe... hali hyo kikwetu tunaita "enkingongo"

Ukitaka kutoka salama kwenye enkingongo bila kufanya uharibifu wa aina yoyote iwe wa mali au roho ya mtu, inakuhtaji u' relax na uamin kuna kitu ulikuwa unaepusha nacho... yaweza kuwa ni maradhi ndomana umeifaham kweli kuwa mke wako anakusaliti.

Ukishajua hilo sasa, mwambie huyo mkeo wa zaman aende kwao na humuitaji kwa sasa, akitaka kwenda na watoto.. muache aende nao, hlf huku nyumban kanunue daftar dogo uandae ratiba ya watu ambao utawatembelea kwa kipind cha mwez mzima, kila unapotoka kazini unaenda kwa rafik au ndugu unaenda kumsalimia ukirud zako nyumban upo hoii.. unazama zako kulala tuu, lengo ni kuwa bize na kutokupata nafas ya kufikiria kabisa hlo jambo.

Kinachofata hapo ni kuachia nature ifanye maamuzi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app



nimecheka
 
Huwa naamini sana katika nguvu ya kusamehe. ni mkeo huyo. Amekosea!! Msamehe, maisha yaendelee
 
Inauma Sana, Pole Chukua Hatua Kali Dhidi Yake Ila Kwa HEKIMA,BUSARA NA AKILI SANA
 
Mwanamke kumiliki simu tu matatizo yanaanza kutuma picha za uchi mtandaoni mpokonye simu asitumie tena maisha yake yote iwe smart au kitochi jamaa na ndugu zake wampigie kupitia simu yako uone atakavyosota

Halafu sasa wewe aendelee kukushuhudia ukichati jf akic&u?gulia anakuta upo ktk mjadala wa ugunduzi wa sayari mpya au njinsi ya kutoka nje ya mwili meditation halafu anabaki kuumia hatachati tena mesenger wala fb wala whatsap hapo niwisho wa umalaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh Pole sana Mkuu.

Jitahidi kujikaza kama mwanaume najua ni ngumu ila hizo ndo changamoto za maisha ya ndoa,Kaza Moyo!
Mi nakushauri kabla hujachukua maamuzi yoyote ya ghafla tumia busara kwanza, na fanya haya:

1.Jaribu kuongea na Mkeo kwa utaratibu ujue ni sababu gani iliyomfanya akachepuka,hicho ndo cha msingi kuliko vyote (ana sababu zake) ukijua itakusaidia kujua mapungufu yako ili ujirekebishe.

2.Punguza hasira na usiendelee kumpiga (unaweza muua kwa hasira ikawa ishu nyingine)

3.Jaribu kudeal na hii ishu we mwenyewe kama mwanaume usipeleke kwa wazazi sababu ndo kwanza kosa lake la kwanza.

4.Jiulize haya maswali/fanya uchunguzi, Je bado unampenda?Je ni kweli ametubu na kujutia alichofanya?Je bdo anakuheshimu na kukuonesha upendo kama ilivyokuwa mwanzo?Je wewe hujawahi kuchepuka?Je Mtoto wako ataishi vipi mkiachana na Je is it worth it kuachana (kwa mtizamo wako ww, ukipima mzani wa mazuri na mabaya)

Naamini ukipata majibu ya hayo maswali nilioyaandika hapo juu utakuwa kwenye hali nzuri ya kuweza kutoa maamuzi unayoona sahihi kwako.
Ila kwa ulivyo mwelezea mkeo ingekuwa ni mimi ningemsamehe (japo sio rahisi) na kumpa LAST WARNING.

Note: Kama ukiamua kumsamehe fanya haya,Mwambie akirudia tena atakuwa amejitafutia talaka ye mwenyewe,ongeza upendo kwake,usiweke kinyongo,jirekebishe makosa yako,(kuwa mume bora kiufupi) ukifanya hayo atakuthamini kwani nahisi bado anakupenda sema alikosea tu, binadamu hatujakamilika.

Ni hayo tu Mkuu..
 
Huwa naamini sana katika nguvu ya kusamehe. ni mkeo huyo. Amekosea!! Msamehe, maisha yaendelee
Inategemea Mkuu, Daraja La Juu La Uanaume Ndio Wanaweza Kusamehe Maana Mwanamke Alishaonywa Mapema. Inahitaji Moyo Hapo Jamaa Aombe MUNGU Amsaidie Apate Hekima Kutatua Sakata Hilo. Inauma Sana Naomba MUNGU Yasinikute Haya majanga
 
Duuh pole sana Mkuu, nimejaribu kuvaa uhusika imeniuma sana.
 
Nimesoma huu uzi kwa makini nahisi kuumia sana utafikiri nimet.ombewa mimi...!
Ila sio siri siku nikajua kuwa mke wangu ameto.mbwa na lijamaa..!!!!! kudadadeck..!!!
Najua kuua ni kinyume cha sheria naweza kuishia jela, hivyo nikishindwa kumtwanga taraka pengine kwa kuhurumia watoto au labda kuna sababu flani ya kufanya nisimwache ok ila sintomsamehe mpaka nakufa bali ntaishi naye ila kuanzia siku hiyo (ntatembeza pira) ntagonga mademu mpaka atajuta kunifahamu!!! ntagonga house girl, na hata ndugu zake wa kike wakija hapo nyumbani nagonga, hata awe dadake,mamake mdogo hata mzazi akijipendekeza natwanga,
mademu wa karibu na hapo nyumbani,marafiki zake/wafanyakazi wenzake..yaani ataondoka mwenyewe tu..!!!
Mche mungu wewe , comment yakoo yaani nii shidaa,!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano ulioa mwanamke usiyemjua, it's very possible huyo mke wako alikuwa kitomb.wa hata kabla ya hapo, alikuwa anajivika uhusika wa kondoo kumbe ni nyoka.

Mlipuko wa smartphone kwenye jamii unaibua tabia nyingi tusizojua za wenzi wetu, mtu kuweza kutuma picha za utupu kwa mwanaume ni mala.ya tu hakuna kingine, she's a prostitute. Hizo tabia umezishtukia recently kwa vile ulihisi kitu, but I'm sure she's been cheating all along.

Hizi smartphone zimeleta ujuha mwingi kwenye jamii, saivi mtu anapanua paja, anapiga picha uchi(maku/ombo tena shaved or not shaved) wake anamtumia stranger, can you imagine how satanic that is!!!
 
Back
Top Bottom