Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Mm hata kama nina mahawara 20 mwanamke wangu hatakiwi kuwa naye hata mmoja. Maana yake atakuwa ameamua kujibu mapigo. What to do namwambia mm nasogeza mmoja wa mahawara wangu, so na yeye amfuate mwanaume wake. Fullstop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inauma sana aisee. Binafsi mimi ni mgumu kusahau upuuzi kama huu, hapo amani inatoweka kabisa hata kama tukisuluhishwa, tena itakua kila nikimuona nakumbuka hilo tukio. Pia kutomfuatilia mwanamke hakuashirii kwamba hakuna usaliti. Kutomfuatilia mkeo ni kujitengenezea bomu. Magonjwa mengi sikuhizi. Sasa huo mchepuko wake atakua na future gani naye kuliko mume wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakufikiria hayo yote, wakati anavua nguo hakumfikiria mume wake, hakumfikiria mwanawe, hakujifikiria yeye, hakuifikiria familia yake , alifikiria tu kufanya huo uchafu

What goes around always comes around
 
Hivi ktk mahusiano ni bora kuacha kumuwaza mkeo kama ana cheat au la AU kufatilia...whasap hizi nazo zimeleta sintofahamu nyingi sana ktk ndoa...yaani Smart phone ni jipu la mahusiano mengi...passwords zina Linda sana siri za watu...yuko tayari kulinda simu kuliko kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app


Huna game mothafaka!
 
Pole kaka ndo ukubwa huo na pia kama ulivyosema una mridhisha ktk unyumba na pia unatimiza mahitaji yake vizuri na hapo ndo kumuelewa kiumbe wa kike inakuwaga shida, yaani wana visababu vingine vya ajabu sana utaambiwa jamaa ana sauti ya kiume sijui mara love garden

Kwa ufupi kaa nae na pia jitathimin wewe kwa upande wako labda upo busy sana au upole umezidi maana wanatakaga 'ka ubabe flani ka kiume '

Au pia anaweza kuwa kajua shida zako flani na hasa za uaminifu wako kwake anahisi una mtu nae anajifariji huko


Niliwahi kuwa na Mwanamke akacheat nikamuuliza sababu ya kucheat.

Akanijibu alisikia jamaa haisimami hivyo alienda kuhakiki tu hakupewa hats sabuni ya kusuuzia utupu.

Ndo ujue Dada zetu nii..
 
Dah, pole sana mkuu!

Vya kuzingatia nii hivii;

Jipime wewe Mwenyewe kama ulishawahi kumcheat mkeo na kama ulishafanya nawe kitendo hikoo basii hauna haki ya kumuach mkeo wakati jambo hilo linamuuma kama akilijua the same kwa wewe livyokupain

Kama wewe wajilinda ila mkeo kafanya kosa hloo basi nii haki yako kumuacha ila sikushauri sana angalia mbele maana unamtoto naee na isitoshe mmefanya mambo mengi nae..!


Kingine Ndugu, sijajua tuu wewe nii muumini wa dini gani, kama nii Islam basii huyok mkeo anaadhabu ya mawe mpaka kufa na vilevile kwa mwanamume ktk ndoa..cha msingi muumize aletee tobaa ya ukweli kwa mola wake, maana mola ni mkarimu na anakubali toba.


Njia nzuri ya kudhibiti ufedhuli huu ni kuhimiza dini katika nyumba, hakikisha watu wako wa nyumbani wanampenda muumba wao, maana wqkimpenda Basi ataa vitendo hvyoo vichafu havitokuwepo..


Mwisho kabisaa nikutakie subra njema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumpelekee mama yenu awalelee mtoto na nyie mpo wapi? Hamuoni kama mnamtesa? Wazazi wamewalea nyie mpk mmekuwa halafu tena mnampelekea watoto wenu awalee wakati nyie wenyewe mpo na mnao uwezo wa kulea. Huko ni kumuonea mzazi, muda wake sasa ni kupumzika. Mpelekeeni wajukuu wakamsalimie na sio kuhamia huko mumpe mzigo wakati nyie mkiponda raha.

Ukielewa maana ya ukoo hautazungumza namna hii. Pia wazazi wa kufikia wanawa-abuse sana watoto wasiokuwa wao bora kwa bibi. Na kama huyo mwanamke alifahamu hizi shida iweje atembee nje ya ndoa?

Kwanza mleta mada mpaka dakika hii alitakiwa kufanya uamuzi wa 'kimakinikia'. Halafu itakuwa bomba kama yule bwana nae ana mke.
 
Pole sana ndugu yangu; n muhimu kukaa kwanza na huyo mwanamke uongee nae kwa cancelling then ka vip mmbane jamaa afute picha. huyo jamaa uccheke nae kabisa

NB yote hayo ya nawezakana kwanza ka wife atakuwa upande wako


then after unaweza chukua uamuzi wowote juu ya mke wako mana hayo ss n maamuz ya moyo wako.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...
Hakuna mkamilifu kwenye hii dunia... Na kila binadamu ameumbwa na matamanio..

Alichokufanyia wife wako, ni curious and excitement ya kujaribu kitu tofauti hakuna kingine...


Cc: mahondaw
 
Hivi ktk mahusiano ni bora kuacha kumuwaza mkeo kama ana cheat au la AU kufatilia...whasap hizi nazo zimeleta sintofahamu nyingi sana ktk ndoa...yaani Smart phone ni jipu la mahusiano mengi...passwords zina Linda sana siri za watu...yuko tayari kulinda simu kuliko kingine

Sent using Jamii Forums mobile app



usimfatilie mkeo mkuu!tutakurudisha IPILIMO ukiwa kwenye box
 
Juzi nlitaka kumchinja mke wangu baada ya kujua huwa ana mawasiliano ya siri na wanaume hadi huwa wanamuhinga vitu na huwa ananidanganya!i swear in jf name siku nikimkamata amenicheat ntamla nyama yake .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nlitaka kumchinja mke wangu baada ya kujua huwa ana mawasiliano ya siri na wanaume hadi huwa wanamuhinga vitu na huwa ananidanganya!i swear in jf name siku nikimkamata amenicheat ntamla nyama yake .


Sent using Jamii Forums mobile app


UWI! ukute wewe humpi kitu lazima ahadaike !we chunguza utaja gundua wewe ndo chanzo
 
Aiseee!! Pole sana
Mkuuu
Ama kweli ndoa ngumu maniner dhaa!!

Wala usihitaj kufkiria
Mwandikie tu talaka ya life
Ban Kwa wazaz wake

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Uli hack sim ya nn na we koma ungeach hayo yasingekuepo [emoji23][emoji23]ko lia nayo mwenyew muit jamaa na mkeo mzungumze tu [emoji21][emoji21]
 
Back
Top Bottom