Woman are intelligence penda usipende wewe utazidi kujipumbaza kuwa wanawake ni wajinga kama wewe na kwa taarifa yako mwanamke ndo anaejua a real biological father of your kids sasa wewe unaonyesha ni mchanga sana kwa mambo ya wanawake..Nikwambie mwanamke hawezi kuwa na teckink ya kukuzidi wewe hata siku moja labda we hujielewi we ni nani yaani mwanamke akuzidi akili basi wewe sio mwanamume mwanaume hashindwi league akishindana na mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Masisitiza hivi mwanamke hawezi cheza league na mwanaume akashinda ukiona umefall down hujatumia akili maana yake sasa tegemea kuvuna mabua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu mm huwa nashangaa eti wanaume tunakaa kuwafikiria hawa viumbe ...mwanamke hata awe vipi amini anagongwa njee hata umpe nini nakazi bure ..unahangaika nasim yamwanamke yanini ???hivi hushangai ww ukiingia bafuni unaoga unaosha kichwa lakini wao hawaoshi vichwa ???watu wanatembea namwanywele yanawasha yananuka .mwanaume unaweza kukaa bila kuosha kichwa ???usiopoteze mda wako kukaa kuwawazia hawa viumbe utakufa bure kwapreshamwanamke ni kiumbe cha ajabu sana...hpo unapaswa ukae na watu wenye busura za juu sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Woman are intelligence penda usipende wewe utazidi kujipumbaza kuwa wanawake ni wajinga kama wewe na kwa taarifa yako mwanamke ndo anaejua a real biological father of your kids sasa wewe unaonyesha ni mchanga sana kwa mambo ya wanawake..
Tena wewe kama umeo na unamchukulia mwanamke dwarf mind umepotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu mm huwa nashangaa eti wanaume tunakaa kuwafikiria hawa viumbe ...mwanamke hata awe vipi amini anagongwa njee hata umpe nini nakazi bure ..unahangaika nasim yamwanamke yanini ???hivi hushangai ww ukiingia bafuni unaoga unaosha kichwa lakini wao hawaoshi vichwa ???watu wanatembea namwanywele yanawasha yananuka .mwanaume unaweza kukaa bila kuosha kichwa ???usiopoteze mda wako kukaa kuwawazia hawa viumbe utakufa bure kwapresha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wakali ndio hawachiti kumbe!Hiyo ni nafasi nawew mpige chin wanawake wapo wengi wakali balaa
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Kwani watoto wangapi mayatima na wame kuwa Acha uwoga mkazie onesha u wanaume so kilaisi 2 uyamalizeaAah aisee inauma sana unaweza kwenda jela ivi ivi..haya mambo hayana ushauri unaeza ukamfukuza mkeo mwanao akapata tabu zaidi..
Soon mkuu ninashida sana yakuimiliki hiyo app maana hata Mimi kuna mabadiliko makubwa nimeyaona Kwa wife pleas usiwe na wasiwasi wakunielekeza nimejiandaa kisaikolojia vyakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli mm siwezi kukaa kuumiza kichwa kuwafikiria nyie ..hahahahahhahahahahahah mawazo ya kimanikia haya
Pole sana ndugu.. [emoji21] [emoji35]Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaamua kuharibu mada ya watu. Analeta mambo ya nyuzi nyinginendio mimi mkuu!
Duh wewe mwenye akili hii ukija kuoa kwetu na kufukuza kama kuku maana hujielewi karne hii una amini huu ujinga
Akikujibu namba NNE nitag..Moja: Ni kweli uzinifu unatosha kabisa kuvunja ndoa.
Pili: ULIKOSEA SANA kuishia kumuonya wife pekee..ulipaswa uonye huyo jamaa na umtishe haswa hakika angemuogopa mkeo na mkeo asingeliwa.
Tatu:Kwenye kila maamuzi utakayofanya kumbuka MNA MTOTO na anawahitaji wazazi wake wote.
NNE: Mkuu hujawahi KUCHEPUKA nje ya ndoa yako!???
Sent using Jamii Forums mobile app