Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Niko off mwaka mzima huu, nagusagusa sikumojamoja nikiwa bored. 2017 nilipiga fainda ndefu, 2018 nilkula nikaliwa. Haya mambo usipokua makini unaweza ukawa regenerate gambler ambayo huwez kuacha labda kifo kikutenganishe
 
Unajua maana ya long term loss ?, akiendelea betting no matter the system within next 5 years or less atakuwa amewapa hio 15M na zaidi hata akiwapa tuseme 14M faida ya 1M kwa muda wote huo kama sio time wastage ni nini ?

Kumbuka hapa hafanyi kama leisure kama mtu anavyokunywa bia na kuburudika hapa yeye ni biashara (investment to gain profit);
Mkuu unaongea point sana, watakuelewa wachache sana.
Labda wengine ni baada ya muda mrefu watakuja kukuelewa.
 
Kama mtu unabet lazima umuelewe mwana...!! kanji sio poaa aiseee... anakulaa pesaaa zakee alizokupa na za kwakoo piaaa
Hhahaha...Noma sana asee...Hata mtu ukila kwa muda fulani, utakuja kuliwa muda fulani...unaweza jikuta umpigwa au ngoma Droo.

Sasa ukijiuliza muda, presha balaaa...ukiwa laini laini magonjwa ya moyo, presha nje nje.

Unaweza kuangukia ama ulevi ili kupunguza mawazo ya ulovyoliwa.
 
Huu ni uongo Mkubwa sana!!!

Kuna betting limit kwenye hizi ligi ndogondogo hasa huku africa , sidhani kama kuna kampuni wanapokea hata milioni moja kwenye hizi ligi za east Africa per single bet, wanalimit sana

Afcon iliyopita ulikua huwezi kubet zaidi ya 235,000/= kwa single bet kwenye hizi kampuni ya kibongo!! Makampuni yote makubwa duniani yana betting limits kwenye ligi ndogo ndogo Ku avoid match fixing,unakuta huwez kubet zaidi ya dola 200

Mfano ndugu zangu yanga wanavyotembeza bakuli na wachezaji kulalamika hawalipwi afu kama kampuni uruhusu bets za M100 unadhani nini kitatokea?
Husifikiri local mkui.. Unajua kwamba ligi kuu Tanzania bara kupitia kampuni moja ya Eastern Europe yenye wawakilishi wake hapa bongo inaruhusu kubet game za ligi kuu Tanzania bara na unaruhusiwa kustake hadi million 50 per single bet ya bongo. Did you know that!?
 
Hakuna uzuri katika utapeli na wizi. Tujikite katika shughuli za uzalishaji mali na huduma ili kukuza na kuimarisha uchumi wa taifa letu, kuchezea rasilimali muda kuhamisha pesa kutoka mkono wa kushoto kwenda wa kulia hakuongezi chochote kwenye kapu la taifa.
Boss kwenye betting kuna vitu vingi mno, ambavyo kma sio mtu wabet ningum sna kuvielewa.

Nilishawai kupoteza ela ndefu mwishoni mwa mwaka 2017, nkaanza kubet kma mwehu kukimbizia ela ilioliwa sikuweza kuirudsha nkapoteza zaid, kichwa ilkua inapata moto balaa.
Kma ukiweza kuhandle vizur kamari hakuna chochote kinachoweza kua kigumu maishani mwako. Mfano jmaa amewin hio m15 siku akijapoteza 10m kwa siku au week naakaweza kuimudu hio situation vizur. Haya maisha hayatakua nachangamoto yoyote ambayo itamshinda
 
Sijawahi cheza magoli mkuu ni direct win pekee ila upepo ulikaa wiki kama mbili mfululizo ila ilipoingia ile international break kwamba Mataifa yanacheza mechi za urafiki nikaendelea kucheza weeee! Hapo ndo show ilipogeuka nikapaniki ndo nikapotea zaidi.

Kuhusu mbinu mimi huwa naangalia form ya mechi 5 za home team akiwa away.

Yani mfano leo Manchester united - chelsea
Naangalia form ya mechi tano za united alipokua away kuna trend naangalia si rahis kukuelekeza kwa hapa ila mfano hii gemu mimi nimeiona kuwa chelsea anashinda.
unaona sasa mkeka umechanika!!
 
Mm binafsi nimekuwa active kwenye kubet tangu mwaka 2017 mwanzoni ila kabla ya hapo sikuwa kubet kabisaa na ukae ukijua mm sio mshabiki sana wa mpira hata ukipanga kikosi uwanjani unambie nioneshe namba tatu au nane mm sijui kwa kwel

Nilianzaje kubet?
Kipindi nipo chuo niliuwa nawatembekea jmaaa zangu nakuta maghetoni wanakula vizuri kipindi mm boom limekata nikawakuta na mikeka ya makaratasi yan premer bet na mm nakumbuka siku iyo nilicopy mikeka kama 12 iv kwa jero jero ila sikula hata mmoja ikawaga ivyo kila nikitoka chuo naenda kukopi mikeka kusema ukwel ni mchezo wa bahati niliwai shuhudia jamaa anahakikisha mkeka alishinda 8.7M kwa jero tu ndio nikaamin kama kwel pesa ipo, ila narudia ni mchezo wa bahati

Basi mm nikaachaga kubet uko kwenye karatasi kwasababu ya muda nikaanza kubet online nikafungua acc premer kipindi iko jmaa zangu hawajui sana kuhusu online coz wao walikuwa karibu na vibanda vya kubet alafu wanaona uvivu kutumia na bando juu

Nikaanza kwa kutafuta platforms zinazotoa predictions pamoja na head to head mwanzo nilianza kukopi predictions zao ila nikawa si shindi
Ikumbukwe mm huwa na sukaga majamvi ya timu kumi kwenda mbele na stake yangu imezidi ni buku mbili
Mwanzo nilikuwa nabet kila itwayo leo
Baada ya kuona napigwa sana kwa kukopi predictions nikanza kuangalia mwenyewe head to head na chambua vizur labda zimekutana mara tano uyu kashinda mara tatu zote akiwa home na leo tupo home basi mm nampa uyo au kila wakikutana hawatoi magoli zaidi ya matatu basi naeka under au wakikutana wanafungana sana naeka both time to score nikawa nimepata njia nzuri sasa unakuta naeka mkeka hata timu 17 inaharibu moja stake ni mwisho buku mbili hapo ndo nimeeka kubwa, badae nikawa nikawa nabet weekend tu yan jmos na jpili.

Mara ya kwanza kushinda ilikuwa mwezi kama watatu iv iyo 2017 nilieka timu 15 moja haikucheza siku iyo nikashinda milioni moja na elfu 19 kwa stake ya jero tu nikaamin kama kwel kuna pesa nakumbuka jamaa zangu wengi sanaa waliansa kubet kipindi iko wengi waliacha njiani wachache bado wapo na baba yetu wa hiati(kanji)
Kama wiki tatu badae nikashinda tena laki tatu kwa 25000 timu zilikuwa nane
Tangu nianze kubet sijawai pata hasra kwasababu na stake kidogo alafu nabet weekend tu mikeka miwili kila weekend

Sasa iv nataka niwe natafuta odds 20 tu nipunguze timu naamin ntafanya poa sana

Betting ni mchezo wa Bahati sanaaaaaaa ila kuna njia za kuongeza bahati
1. Stake kubwa timu moja ukizidi tano
2. Usibet direct win bet magoli kwenye magoli kuna options nyingi sana
3. Usiwe na tamaa ya kuongeza odds au stake pia jiekew limit sio kila siku unabet tu
4. Ukibet usifuatilie matokeo kaa mbali na mikeka yako ili usipate hamu ya kupandilia mikeka kama utachanika mm iyo inanisaidia sana nikibet nakuja kuchek mkeka keshoo yake mara nyingi sibetii timu kubwa na bet timu ambazo hata kanji hazijui
5. Pia fanya analysis kwanza kabla ya kubet japo ni mchezo wa bahati ila historia inajirudia

Asikudanganye mtu betting inalipa sanaaaaa kama unamtaji kama alivyofanya mleta mada,

Alafu betting sio utapeli ni kitu cha halalo utapeli ni izo tatu mzuka na kina biko. Mana betting unampa arsenal unaoba kabisa kapigwa inamna ulikosea
Pia tunalipa kodi kwenye kubet tena nyingi sana kama jamaa hapo amelipa pesa nyingi sana zaidi ya hata ya milioni 5

Huu ni mfano tu wa mkeka nilishinda mwezi wa kwanza hapo

View attachment 1083576
Iyo bonus unayoona ndio kodi ambayo nimekatwa hapo nilieka 2200 nikashinda laki nane kasoro kama buku tano

Ningetuma mikeka mingine niliyowai shinda sema nimebadili simu na uku ishafutikaga mwaka 2017 na 2018 ulikuwa mzuri kwangu ilikuwa karibia kila mwenzi nashinda mkeka kuanzia kiasi cha 300k kwenda juu, hii nikutokana na njia yangu ya kueka timu nyingi ni ngumu sana kushinda ila mwaka huu umekuwa mgumu kidogo
 
Back
Top Bottom