Nimetembea na shemeji yangu

Nimetembea na shemeji yangu

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Wakuu kuna mambo binadamu unaweza kuyafanya mwisho wa siku ukajikuta unajuta kwa nini umetenda.Ni hivi kaka yangu alikuwa anaishi kinyumba na mwanamke mmoja, waliishi karibia miezi sita wakaachana. Sasa Jumamosi iliyopita asubuhi nilienda Mlimani City kufanya shopping, nikamkuta na shemeji yaangu naye yupo hapo.

Alishangaa sana kuniona hata mie nilistaajabu pia maana urembo wake ulikuwa umeongezeka mara dufu. Akanisifia sana kuwa nimekuwa handsome sana siku hizi, mie niliona kawaida tu.Kabla hatukuwa na mawasiliano yoyote yale, tukapeana namba za simu. Jumapili akanipigia na kuomba tuonane jioni, jioni ile nikachoma mafuta hadi sehemu ya ahadi.

Tuliongea mengi huku tukinywa bia, mida ya saa 2 usiku nikamrudisha kwake, kufika kwake akagoma nisiondoke kwanza. Akaenda kuleta bia kadhaa tukaendelea kunywa tukiwa wawili tu, mida ya saa 4 usiku akasaula nguo zote na kubaki kama alivyozaliwa akidai joto kali. Kwa kweli uzalendo ulinishinda nikaanza kumgegeda kwenye kochi.

Wanajamvi, nani mwenye hatia hapo. Kesho yake nilijuta sana
 
mBu.Nye UifAiDi weWe tEna kwEne KoChI la soFaa. MaJutO nDo UtuLetEe siSi ShaMe on You!
 
weka picha
kama ilifabikiwa kuingia hakuna tatizo mkuu unaweza hata kurudia tena ila
tunaomba pichatu
 
Hiyo Ni Dalili Tosha Kuwa Kaka Yako Ni JOKA LA KIBISA! Hongera Kwa KUMBANDUA. Napenda Mno Wapiganaji Kama Wewe.
 
Ukirudi tena kwake na kufanya mlichofanya tujuze maana muonja haonji mara moja.
 
Usisahahu kumsimulia kaka yako atakuona wewe kidume kwelikweli.
 
Kabla hatujakujibu nani mwenye hatia na kama wiki tatu zimepita wahi ANGAZA uje na vipimo vyao ili tujue ni wapi pa kushauri.
 
Back
Top Bottom