Nimetembea na mama na binti yake

Nimetembea na mama na binti yake

Kwanza, jiandae na laana kutoka kwa mwenyezi. Pili, huyo mbaba kabla hajajua inabidi uhame mtaa kwa usalama wako.

kuhusu kuhama mtaa nasubiria kodi yangu iishe nisepe mtaa mwingine. Sidhani kama nina laana kwa sababu ye ndo alienifuata.
 
We hujatulia pia hujajua unachokitaka. Naamini huyo mpenzi wako Mwanza atakua anafanya hayohayo unayoyafanya.

Nimetulia na sina papara, sikuwa na mpango wa kutoka na 'bi mkubwa', mazingira ndo yalipelekea. Mpenzi wangu wa Mwanza hana mambo mengi, mi ndiye niliezidiwa
 
Nimetulia na sina papara, sikuwa na mpango wa kutoka na 'bi mkubwa', mazingira ndo yalipelekea. Mpenzi wangu wa Mwanza hana mambo mengi, mi ndiye niliezidiwa

Hamna kitu kama kuzidiwa, huyo mpenzi wako wa Mwanza akizidiwa haf akachepuka utamlaumu? Itakuwa hukuwa na mapenzi na yeye ndo maana
 
Hamna kitu kama kuzidiwa, huyo mpenzi wako wa Mwanza akizidiwa haf akachepuka utamlaumu? Itakuwa hukuwa na mapenzi na yeye ndo maana

Nilizidiwa hamna sababu nyingine. Kumpenda nampenda toka enzi hizo
 
huo uandishi wako tu unaonekana hufai hata kwa nyongeza
 
hii story kama nimeiona kwenye magazeti pendwa.hvi mwanaume gan mzembe anayeweza kumruhusu mkewe awe anatoa penz kwa mwanaume mwingine.alafu ata lugha unayotumia ni ya kiuni uni sidhani kama hii ni story ya kweli mkuu.

Hakumruhusu mkuu. Nimetumia tafsida kupunguza ukali wa maneno.
 
Back
Top Bottom