Nimetembea na mama na binti yake

Nimetembea na mama na binti yake

Hahahahaaa hujamsoma jamaa anamaanisha kama wewe ndio mume unafanyiwa hivyo ungejisikiaje?.....akamalizia.....what goes around comes around

Kuchapiwa lazima mwanaume yeyote aumie. Mimi kama mimi ishanitokea, nilikuwa na mpnz wa mbali na nilivyoenda alipo yeye nikakuta maneno na baadae nikathibitisha. Bi Mkubwa ananiambia mzee hana time naye.
 
Utenzi wako hukuutoa kwa namna ya kuomba ushauri....nadhani ulituwekea tu kututaarifu...labda nikushauri uweke majina ya mama, mwanaye na huyo unayemwita mchumba wako ili tufanye comparison!

Majina Mkuu? Una uhakika majina ni muhimu?
 
Nampenda ila yupo mbali, na mda mwingine nazidiwa kama mwanaume, hata hivyo sitaki ajue kwa sababu mahusiano yangu na mpenz wangu bado ni changa, Nipo hapa na 'binti mkubwa' kwa sabab chochote kikitokea nina pa kutulia, siunajua nyie wanawake hamtabiriki, naelewa ninachokitaka labda mimi bado sijaamua tu kuoa kwa sababu uchunguzi wangu haujakamilika, sijajiridhisha bado yupi anaweza kuwa mke mwema.
sasa ushauri wa nini wakati unajua wanawake hawatabiriki?
 
Bado hujapenda, Mwili wako bado unawaka tamaa, Angalia unachopenda! Cheap is Expensive!

Ukiona upo ktk uhusiano, na bado unatengeneza uhusiano na mwanamke mwingine mpaka unamlinganisha na Mtu wako wa muda mrefu, basi hukumpenda, tulia ukipenda hutahitaji ushauri, utaleta kadi
 
Mapenz yanashuka, yanapanda, mapenz kama bustani. Nway nimechukua hiyo Mkuu.
 
sasa ushauri wa nini wakati unajua wanawake hawatabiriki?

Ilinitokea nilikuwa nina mpenz wa mbali ikawa tofaut. Naomba nisahihishe kuwa mapenz ndo hayatabiriki kwa sababu moyo wa mtu ni kiza kinene.
 
Kuna vitu vingine haviitaji kuomba ushauri umemtia binti Wa watu dhambi bure ya kushare na mama Yake bwana unaitaji kutubu Kwa kuifanyia mambo ya laana familia ya mwanaume mwenzio na kumdharau mwanaume mwenzio na utapata tabu sana kwenye mahusiano yako na Mungu akualaani na shetani akuongoze
 
Sio jambo geni kutokea kuna mtu alilamba bibi mpaka mjukuu but ni upumbavu wa hali ya juu coz huyo mama akibaini umefanya mchanyato kuna baya linaweza kutokea kiwivu au kimaadili so umeleta family conflict ambayo sijui nani atakae itatua wacha mara moja huo sio ujanja ni tamaa za kihayawani na sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa kuomba ushauri kwa jambo ambalo naamini ndani ya nafsi yako unajua ni baya.
 
Kuna vitu vingine haviitaji kuomba ushauri umemtia binti Wa watu dhambi bure ya kushare na mama Yake bwana unaitaji kutubu Kwa kuifanyia mambo ya laana familia ya mwanaume mwenzio na kumdharau mwanaume mwenzio na utapata tabu sana kwenye mahusiano yako na Mungu akualaani na shetani akuongoze

Mi sikupeleka matatizo kwenye hiyo familia, hao wanandoa hawakuwa na maelewano baina yao na nilikuja kujua hilo baadae wala sikutumia hiyo kama 'kick'.
 
Back
Top Bottom