Nimetembea na mama na binti yake

Nimetembea na mama na binti yake

Mm naona unaroho ya mbwa mtaalum,kwa kifupi una pepo la uzinzi,ushauri mtafute mungu hizi ni nyakati za mwisho!
 
hii story kama nimeiona kwenye magazeti pendwa.hvi mwanaume gan mzembe anayeweza kumruhusu mkewe awe anatoa penz kwa mwanaume mwingine.alafu ata lugha unayotumia ni ya kiuni uni sidhani kama hii ni story ya kweli mkuu.
 
hapa ndo huwa nachoka nikimaliza kusoma na kugndua kuwa ni simulizi la tamthilia
 
Sio sifa mkuu, huo msisitizo tu

Alichokisema miss chagga hapo unapaswa kukielewa sana, what goes round comes around....unavokula mtu na mama yake huku, na yy kule analiwa na jamaq tena wanamla ovyo ovyo, na nakuhakikishia kuwa hutaoana na huyo mpenzi wako...keep it in ur mind!:sly:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom