Unawafundisha nini wadogo zako kwa hadithi yako?
Ndorooboo wewe, unaomba ushauri gani sasa? Umeruhusu kichwa cha chini kikutawale.
Wewe hapa huhitaji ushauri. ila unajisifu lakini nimegundua unapenda mselele. unapenda k.u.m.a za bure. ingawa umesahau kusema kuwa huyo mama anakuhoga.
ningumu kuelewa na ajiandae kuliwa.. hakuna mwanaume anayekubali kuliwa mke wake hata kama ni hanisiAlichokisema miss chagga hapo unapaswa kukielewa sana, what goes round comes around....unavokula mtu na mama yake huku, na yy kule analiwa na jamaq tena wanamla ovyo ovyo, na nakuhakikishia kuwa hutaoana na huyo mpenzi wako...keep it in ur mind!:sly:
... uchunguzi wangu haujakamilika, sijajiridhisha bado yupi anaweza kuwa mke mwema.
Huyu jamaa inavyoonekana huyo bi mkubwa anaweza kumuacha, kimbembe kipo kwa hao wawili waliobaki anavyowasifia nahisi hawezi kuchagua mmoja kati yao.
Hapo kuna kazi, ili mi namshauri awe na wa Mwanza
Wa mwanza yupo mbali, haf ukiangalia ashawah kuzinguliwa na mpenz wa zamani aliekuwa mbali na yeye. Aendelee kuwa nao wawili ili aendelee kuwachunguza kama alivyosema anafanya uchunguzi aweze kujua yupi anafaa
Mkuu uko vizuri kupanga mashairi...
Uchunguzi wapi, mtu mwenyew amesema hana mpango wa kuoa, nimemkubali 'binti mkubwa' , ila siku akijua ndo byebye
Hizo ni hisia zake, mimi nikikosea sio lazima na yeye akosee. Mazingira ndio yamesababisha, nilipitiwa na hisia na najua mpenz wangu hawezi kunielewa na ndio maana siwez kumwambia.
Hamna mashairi hapo mkuu
Uchunguzi wapi, mtu mwenyew amesema hana mpango wa kuoa, nimemkubali 'binti mkubwa' , ila siku akijua ndo byebye