Nimetembea na mama na binti yake

Nimetembea na mama na binti yake

King'asti amesema alimpiga mama 10 na mtoto 6 bado unataka aongeze nguvu si atawaua sasa kwa kupiga 20 na mtoto 12 ha ha hawa vijana na story zao za vijiweni wanaleta JF

Ilikuwa ni kazi moja tu yaelekea hapo hakuna kingine
 
Endelea tu kwa sasa. Vipi binti mdogo naye ushaanza kuchati naye?Huitaji ushauri, unahitaji kubadilika.Vipi kama mchumba wako huko Mwanza naye anafanya mambo haya haya unayofanya wewe?
 
Alichokisema miss chagga hapo unapaswa kukielewa sana, what goes round comes around....unavokula mtu na mama yake huku, na yy kule analiwa na jamaq tena wanamla ovyo ovyo, na nakuhakikishia kuwa hutaoana na huyo mpenzi wako...keep it in ur mind!:sly:


Hizo ni hisia zake, mimi nikikosea sio lazima na yeye akosee. Mazingira ndio yamesababisha, nilipitiwa na hisia na najua mpenz wangu hawezi kunielewa na ndio maana siwez kumwambia.
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa taifa hili bana ngonongono tu haya tafuta bi mkubwa mwingine uwe nao wawili.

Hapana, bi mkubwa alinifuata akaniwekea mazingira, na mm alinikuta nimezidiwa. Wala sikuwa na nia ya kutafuta ma 'bi wakubwa'
 
Back
Top Bottom