Nimetembea na mama na binti yake

Nimetembea na mama na binti yake

Imagine wewe ndio huyo Mzee au mkeo ndio huyo mama na wewe unasoma hio habari hapa JF, ndugu zangu huu ushababi usio na kichwa wala miguu siku moja utajirudia wamarekani wanamsemo kalma is a B*ch


Hapa tunatumia avatar, fake names ili kuzuia vitu kama hivyo visitokee
 
mmmh jitathmini ujue unataka nini kwenye mahusiano ndio ufanye maamuzi, honi aibu kuwa na mahusiano na mama na binti yake, na bado una mpenzi, kama ungekua unampenda mpenzi wako sidhani kama ungekua na hayo mahusiano mengine ya nje u8nless una tamaa au bado hujui unachokitaka
ni hayo tu


Nampenda ila yupo mbali, na mda mwingine nazidiwa kama mwanaume, hata hivyo sitaki ajue kwa sababu mahusiano yangu na mpenz wangu bado ni changa, Nipo hapa na 'binti mkubwa' kwa sabab chochote kikitokea nina pa kutulia, siunajua nyie wanawake hamtabiriki, naelewa ninachokitaka labda mimi bado sijaamua tu kuoa kwa sababu uchunguzi wangu haujakamilika, sijajiridhisha bado yupi anaweza kuwa mke mwema.
 
''Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi'' Wakorintho 1-6
 
Back
Top Bottom